Dar yarindima, wagombea warudisha fomu, CUF yatia fora, yatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar yarindima, wagombea warudisha fomu, CUF yatia fora, yatisha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Quinine, Aug 20, 2010.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,205
  Trophy Points: 280
  Kwani CUF inafika mbali inaishia DAR tu tena Buguruni haivuki mto Msimbazi.
   
 2. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hivi ni vyama vyenye watu wengi mijini, watu wasiopiga kura bali maarufu kwa kushangilia.
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mshikaji (Lipumba) tangu mfumo wa vyama vingi anagombea anaishia kupata kura kiduchu. Hachoki? safari hii hata Mrema kapata akili kachomoa kwenye uraisi, kabaki yeye kila uchaguzi anaweka jina na kushindwa!

  Hivi, anadhani kuwa atachaguliwa au amesha kiona kijiwe cha kupatia ugali wa kupeleka nyumbani?
   
 4. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,506
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  :welcome:hongera CUF ila LIPUMBA ni raslimali katika nchi yetu ningefurahi angalikuwa waziri wa fedha kuliko mkullo ambaye ni mmalawi na yusuf mzee ambaye ni mngazija. ni hatari kwa nchi yetu viwanda tumewapa watu wa nje,ardhi tunawapa hata secta nyeti kama uchumi na fedha watu wanaosadikika kuwa sio raia ndio wanaohodhi hii inauma sana kwani wataalamu tunao lakini fitina na ushikaji unadumaza serikali zetu za kiafrika
   
Loading...