Ni ongezeko la mishahara au masihara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ongezeko la mishahara au masihara?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by masasi, Aug 5, 2010.

 1. m

  masasi Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeona jinsi gani taifa letu linavyoendelea kuwa la takwimu na watu kuishi kutegemea takwimu ya watawala wetu bila kuzingatia hali halisi,ni kejeli na dharau ya hali ya juu kwa wafanyakazi kuja na takwimu la ongezeko la mishahara huko hali halisi maisha yapo juu ya ongeyeko la mishahara,wafanyakazi tuamke na tuwapinge ccm na serikali yake na hizo takwimu zao,nia tunayo,uwezo tunao,sababu tunazo,tuamkeni na walishakataa kura zetu,yaa baba na mama zetu,wajomba na shangazi zetu,marafiki na wote wanaotutegemea
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ni mimi tu sijakuelewa au hueleweki????
   
 3. F

  FM JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ana maana kura yako mpe Dkt. Slaa!!!!
   
 4. B

  Balingilaki Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Aug 2, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aahaaaaaaaaa:::disapointed:
   
 5. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hebu twambie hilo ongezeko ni sh ngapi kwa sababu mie nasikia nimeongezewa 18,000. sasa hzi zinasaidia nini?
   
Loading...