Mbio za muungano zilifikia kilele chake pale JK alipoamua kuuvulia njugaMuungano, na kuahidi kuupatia ufumbuzi wa kisiasa. Muungano ulijengwa na JK(Kambarage) na kusua sua bila mafanikio, na...
Tanzania daima leo imeripoti kuwa, imegundulika kuwa wanachama 400 wa CHADEMA waliorejesha kadi zao kwa KIKWETE na kukabidhiwa za CCM, kumbe ni mamluki na kadi zilikuwa feki. Hata viongozi...
Tusiukubali kamwe uhuni huu wa CCM
Maoni ya Mhariri
KATIKA mchakato wa kupata wagombea ubunge na udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu ujao, kumefanyika uhuni.
Bila...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2005,mfanyabiashara controversial Rostam Aziz alitumia raslimali zake nyingi kuhakikisha mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM,Jakaya...
UCHAWI JANGWANI - Global Publishers
My take:
Hivi ni kweli haya mambo yalikuwepo au ni mbinu za kuficha ukweli juu ya matatizo ya kiafya yanayomkabili JK?
Wakuu jumatatu tarehe 30.08.2010. chama cha CUF walizindua kampeini za uchaguzi mkuu jimbo la Bukoba mjini wakiongozwa na mgombea mwenza Mh. Duni kwenye uwanja maarufu wa mashujaa mjini Bukoba...
THE CHADEMA Presidential candidate Dr Willibrod Slaa (left) and his running mate, Said Mzee Said display their forms received from the National Electoral Commission (NEC) Chairman, Judge Lewis...
2008-11-10 13:48:03
Na Mashaka Mgeta
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimezidi kukitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kuwachukua wanachama wake kadhaa ambao ni...
Baada ya kusoma habari hii: NEC sasa kuengua CCM kwenye Gazeti la Raia Mwema nimepata mshituko kidogo. Kwa wale ambao ni wajuzi wa Sheria labda wanaweza kutusaidia kutuelewesha.
Kwenye habari...
Nimejaribu kutafakari kwa kina mapinduzi ya vyama bila kuihusisha na mabadiliko ya katiba ni sawa na kucheza na majitaka,kila ukinawa bado ni mchafu.Sasa nauliza kuna ulazima wa kutetea...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Kufuatia kauli yake kuwa Marehemu Idris Abdul wakil alikuwa darasa la saba..
Zanzibar yambana Mbowe awaombe radhi
Mwinyi Sadallah
Ni kwa kauli Rais mstaafu darasa la saba
Mwenyekiti...
Watawala wetu walioshindwa wamejaribu kutengeneza siasa ambayo si siasa tena; wanajaribu kuichakachua na kufanya siasa isiwe vile ilivyo. Siasa ni pamoja na kejeli, utani, kebehi, uchokozi na hata...
Nimrod Mkono kupoteza ubunge
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 25 August 2010
MBUNGE mteule wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ameingia katika kashfa ya rushwa ya uchaguzi na huenda...
Joel Kimbisa
2010-09-01
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa...
Tangu kuanza kwa mchakato wa uchaguzi 2010 nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana uandishi wa habari kwenye magazeti yanayochapishwa hapa nchini ili kuona ni kiasi gani yamejikita katika kuandika...
Katika kipindi hiki cha kampeni ambapo vyombo vyingi vya habari vikiwemo vya umma vimeamua kuegemea upande wa CCM, na vikipotosha habari dhidi ya upinzani, CHADEMA wanapaswa sasa kutafuta njia...
Nguvu au Udhaifu wa vyama viwili,CCM na CHADEMA vinavyochuana kuingia ikulu iko kwenye kashfa nzima ya EPA na yote yaliyojiri kwa CCM kuingia madarakani kwa kipindi kilichopita.
Ni jinsi kila...
Kuna habari kuwa wakati mgombea urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete akiwa Mbalizi mkoani Mbeya alivuna wanachama wapya wapatao 400 wengi wao wakiwa wanachama wa Chadema akiwemo aliyekuwa Katibu...