Leonard Mubale na Richard Katunka, Kigoma
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Simbakalia na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mongela...
Atishiwa kuuawa kwa kutoinadi CCM Moshi Mjini
Mgombea aliyeshinda kura za maoni katika jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kisha kuenguliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)...
Kivuko cha MV Pangani kikivusha wananchi wa Pangani leo. Kivuko hiki ni mojawapo ya ahadi zilizowekwa na Chama cha Mapinduzi 2005, ya kuwaletea wananchi wa Pangani kivuko cha uhakika:
Wadau, najaribu kufuatilia coverage ya mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba...swali ni kwamba, je, hastahili kuonyeshwa au kundikwa kweye magazeti kama wenzake?? Haki sawa kwenye vyombo vya habari...
Katika kipindi cha miaka miwili: 2005 na 2006; JK aliahidi (mengine zaidi ya mara moja) kama ifuatavyo:Good governance (accountability, corruption); electricity, education, water, infrastructure...
Kuna usemi wa wahenga usemao, dalili za Mvua ni mawingu, namwingine husema, sikio lakufa halisikii dawa. Nisingependa kuandika .
Maisha ni zawadi toka kwa Mungu. Ujana ulitesa maana kipindi kile...
Kutokana na uzoefu tulioona katika uchaguzi wa 2005 na chaguzi ndogo zilizopita ni wazi kuwa CCM hushinda kwa uwizi, ujanjajanja wa mabox ya kura au kula njama na mawakala uchwala wenye njaa kali...
Source: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/71623-slaa-akata-anga-morogoro.html
Slaa akata anga Morogoro
Akiwa Mikumi, alimlipua mwenyekiti wa kamati ya kampeni za CCM...
Na Mussa Juma
GAVANA wa kwanza wa Benki Kuu Tanzania(BoT) na aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika utawala wa Baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Edwin Mtei amemtahadharisha Rais Jakaya...
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara pasipo kupata majibu as kwa nini kusiwe na SERA YA TAIFA?
Katika vipindi vya Chaguzi za Raisi na Wabunge vyama mbali mabali vimekuwa vikimwaga au kunadi sera (...
Nchi yetu imekuwa na Mipango ya Taifa ya muda Mrefu ambayo imekubalika kwamba itatekelezwa. Kila mwaka wa fedha mipango hiyo hutengewa fedha kutegemea na jinsi mapato ya taifa yanavyogawanywa...
Habari za Kitaifa
CCM yamkana Shehe Yahya
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 12th September 2010 @ 08:16 Imesomwa na watu: 579; Jumla ya maoni: 0
MWENYEKITI wa Kampeni wa mgombea urais...
Nimeangalia uchaguzi huu tangu uanze, siku 20 zimeshakatika; bado siku kama 50 hivi kufika siku ya uchaguzi; tofauti na changuzi zingine; CCM mwaka huu wako defensive zaidi; tafiti zao za Redet...
Bashe amuumbua Chiligati
ASEMA CCM HAIKUMTUMA KUMVUA NYADHIFA ZAKE
na Kulwa Karedia
SIKU mbili baada ya serikali kumtangaza aliyekuwa mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana...
Eid Mubarak wanaharakati na wakereketwa wenzangu na marafiki zangu.Ndugu tumsifu Yesu Kristo na bwana asifiwe kwa wengine.Sasa leo nimeamka nikatoka kutafuta gazeti ila sikuona cha maana sana...
Leo nimetumia muda mwingi sana kusoma Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Kwa kweli nimegundua Katiba yetu ni vituko na vichekesho kabisa. Kwa kweli tusitegemee kupata maendeleo na...
Mimi inaniuma sana kuona namna vyombo vyetu vya habari vilivyo mahiri machachari katika kupotosha jamii kwa haswa katika ukweli wa hali halisi ya taifa letu kweli ukisoma magazeti yote...
Media mnamdanganya nani kumwita kikwete dr. Si ni nyinyi mlishabikia sana phd feki? Sasa mnapoandika dr kikwete mnataka tu naye aonekane yumo? Halafu mnatia kinyaa nyie