Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Nilikuwa namtangaza kwebye Star TV,Sijaona kama anaupeo mkubwa wa kuongoza nchini kwa jinsi alivyokuwa akilichambua Baraza la Mawazir.Mrema could a better Rais zaidi ya F.Mbowe.
wewe unawemaje?
..tupe vigezo ulivyotumia kufikia mtazamo huo.
Nilikuwa namtangaza kwebye Star TV,Sijaona kama anaupeo mkubwa wa kuongoza nchini kwa jinsi alivyokuwa akilichambua Baraza la Mawazir.Mrema could a better Rais zaidi ya F.Mbowe.
wewe unawemaje?
Tunaomba utupatie vigezo mzee, kigezo ulichotoa mi naona hakina tatizo kwa sababu disco club ni biashara inayokubalika kisheria. Tafuta vigezo vingine tuvijadili hapa JF.
Kaka K
Mbowe alikwisha kusema yeye angefanya nini wakati wa kampeni za uchaguzi 2005. Huu si wakati wa kusema tena angefanya nini kwa sababu hagombei uraisi kwa sasa ila anakosoa utendaji wa yule tuliye mpa kura 2005 kwa ahadi zisizotekelezeka kabisa.Analalamika bila kutoa mbadala...hasemi yeye angefanya vipi...
Tunaomba utupatie vigezo mzee, kigezo ulichotoa mi naona hakina tatizo kwa sababu disco club ni biashara inayokubalika kisheria. Tafuta vigezo vingine tuvijadili hapa JF.
Kaka K
Nilikuwa namtangaza kwebye Star TV,Sijaona kama anaupeo mkubwa wa kuongoza nchini kwa jinsi alivyokuwa akilichambua Baraza la Mawazir.Mrema could a better Rais zaidi ya F.Mbowe.
wewe unawemaje?
aliulizwa aeleze kuwa alikuwa mwanachama wa wapuki hajaja kutueleza tena na akakimbia
alijiunga hapa na akaeleza kuwa yeye atajibu hoja mwenyewe na akatukimbia mtu gani amabe anaahidi na hatimizi ahadi yake.
bora hata mnyika japo nnapingana nae ila ni mtu ambae anapambana kwenye midani mpaka pumzi yake ya mwisho na pia mchukua wake za watu hujitahidi na japo wakati mwengine hufanya utoto akaleta barua zake hapa kabla ya kuzipeleka bungeni na kisha akakanusha kuwa hajazisambaza.
huyu history yake mbovu na hafai kuwa hata mwenyekiti wa chama ni mtu mchafu.
lkn kwa vile chadema ni chama cha kikabila na kiukoo kama tulivyokijadili siku nyingi zilizopita na hata baadhi ya viongozi wake kukiri hilo sishangai
Hebu edit hii habari yako mtu wa pwani. kama kweli unashindwa kuandika kwa ufasaha tu utawezaje kuanalyse watu jamani? usitupotezee muda
Maadili, disko inakubalikika. na ufuska Jee? au hujaona wanavyojiuza pale mbowe? na yeye anashadidia? angekuwa anajali maadili angefanya biashara isiyoweza kutolewa kasoro. Lakini, lisikutishe hilo, biashara ile kairithi kutoka kwa baba yake!
Neither Mbowe no Mrema deserved to be in any National Posts... Let Alone Presidency post...
Imani yangu kwa Upinzani na Baadaye... ni kwamba Tumjenge huyu kijana anaitwa Kitila Mkumbo...
Mimi huwa nam-challange... lakini kwa kiongozi ambaye nitamwamini kutoka kwenye opposition wing... sina zaidi ya huyu kijana...
Sababu ninazo... na nia ya kumtetea ninayo...
Ninakerwa sana na viongozi wanaibuka from No-where wanakuwa maarufu na sisi twasabikia kwamba ni viongozi wazuri...
Kama mnakumbuka nilimtabiria Mizengo kuwa Waziri Mkuu,,, kwa kuwa niliona potential yake kwa muda mrefu sana...
Mungu ibariki Tanzania, Ahsanteni
From the look najua hii mada ina chokochoko na Msitahidi tangia nimekuwa namsoma ni mtu mzushi mwenye nia fulani .Lakini JF naona yote yanakubalika wacha twende naye .
Maadili ? Zomba umechekesha sana .Uongozi wa Tanzania hauwezi kuwa maadili ni kigezo .Nimewahi kuongea na wakubwa fulani wala siku si nyingi walisema Tanzania si maadili ndipo uwe kiongozi mambo ya maadili ni Wazungu sisi hata ukiwa huna maadili unaweza kuchapa kazi basi utakuwa tu .Hebu tuangalie maadili ni yapi .Kwenye disco pekee ? Kuiba mali ya umma si maadili ? Kuchukua wake za watu si maadili ? Viongozi wengi wa CCM wanaongoza kwa kuvunja maadili na ufiska .Hebu fika Dodoma uone , hao akina Lowasa na Rais mwenyewe wana uchafu mwingi wa aina ya ufuska na maadil mengine ikiwa ni Mkapa kufanya biashara akiwa Ikulu na kuwakumbatia wezi na waharibifu lakini bado ni viongozi wa Tanzania .Hili nalo tunalisemaje ?
Sote tumemuona na yeye Mbowe anajua siasa za aina yote nakila jibu lake alikuwa analitolea mfano nakusema nini kifanyike wewe unakuja na longo longo zako tu hapa kwa chuni ama kujenga mazingira ya hidden agenda yako .Tuendelee .
Mimi siongelei nini Mbowe kasema naongelea mambo yalioulizwa. jee anafaa kuwa Rais?
Ikiwa kusema, yupo anaeweza kumshinda nyerere kwa kusema? mimi sijamuona bado. Lakini katika awamu yake iliyokuwa awamu ndefu kuliko zote. Alitutia kwenye lindi la ufukara hata wembe za kunyolea ilikuwa hatuna. Duhh. Sasa si unaona, kusema na kutenda ni vitu tofauti.
Personal hatred na grudges zako kwa RIP Mwalimu zina eleweka .Jenga hoja tuendelee .Unalia lia mno ndugu .Sote tunajua una machungu na chuki na Mwalimu inatosha . Hoja iko mezani ya uongozi na watu kusema watu fulani hawafai .Now nimeweka ngoma kati lete hoja ya maana juu ya maadili .
Naomba kuchangi Jmabo moja kuwa Bwana Mbowe anafanya Bishara ya ufusika. Tunaweza tukawa na vigezo vya kongozi bora, kwa kweli mimi nimechoshwa na kuambiwa huyu kiongozi ni Mpole, anatoka katika familia ya kawaida mumeona hata wazazi wake, hivi hizi kweli ni sababu za msingi za kumfanya mtu akawa kiongozi. Nadhani naungana na yule Eng. Stella Manyanya aliyesema sifa za Mbunge na Viongozi wengine ziwe zaidi ya kujua kusma na kuandika tu' naomna hata hapa JF tunawatu wanomchambua kiongozi kwa vigezo kam hivyo.
Uliona post moja hapa inasema South africa wataharalisha bishara ya umalaya kwa ajili ya worl cup 2010, nchi nyingi ufsika ni halali. Pia kwanini mtusifanye biashara kama hii anagalau watu tunaijua kuliko hao wanaotegemea hela za deal za kuibia nchi.
unamkumbuka yule waziri ambaye wenzetu wa kusini wanamfagilia awe raisi kuwa hakujibu tuhuma za kusomeshewa mtoto wake katika level ya Masters na wawekezaji amabao walinunua TTCL akiwa waziri wa mawasilaino? Huyu unaona ndiye awe raisi? saa hizi tu anasomeshewa watoto akiwa President itakuwaje? this is corruption! amabayo ni kigezo muhimu kumpima mtu.
Analalamika bila kutoa mbadala...hasemi yeye angefanya vipi...