Tume ya Udhibiti na Nidhamu CCM

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
71
Wakuu, naomba kuuliza, hasa kwa wale waliopo CCM, kuwa je ile tume ya udhibiti na nidhamu ya CCM bado ipo? Na kama ipo, inafanya nini?
 

Shukurani

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
253
11
Ni vigumu sana kupata jibu hapa mzee. Kama upo Dar hebu pita pale mtaani wa Lumumba pana ofisi ya CCM pale unaweza kupata jibu sahihi. So far Makamba ndiye mwenyekiti wa hiyo kamati
 

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
13,649
15,811
Tabia kubwa ya siasa ni kwa wanasiasa kupanga vipi wananchi wadanganywe na kwa kiasi gani na ni vipi wanasiasa watapanga cha kudanganya na kuelezea udanganyifu huo kwa wadanganyika bila kuulizwa.

Sasa hapo hata kama wanasiasa ni wadanganyifu wakija na misemo kwamba sijui kuna tume ya maadili,au kudhibiti nidhamu au mambo kama uongozi bora, hayo yote ni uzushi kwani tayari kwa viongozi hao kujishughulisha na ufisadi ni utovu wa nidhamu! na hatua za kinidhamu ni lazima zichukuliwe.

Kwa hio hata kama mgosi Makamba ni mwenyekiti wa tume hio basi ni suala la vichekesho kwani anaweza sana kazi ya kuuendeleza udanganyifu kwa hadithi zake za vichekesho.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom