White House-All about TZ


K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
2,314
Likes
735
Points
280
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
2,314 735 280
Nilikuwa naeleza Kikwete kusafari si vibaya na sasa tunaona umuhimu wa kujenga urafiki na watu. Huwezi kuzoeana na watu kwa simu tu. Kama kikwete anakutana na viongozi muhimu ni vizuri kwani si siri kwa nchi yetu kwenda haraka na tulipo misaada itahitajika.
 
Azimio Jipya

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
3,370
Likes
17
Points
135
Azimio Jipya

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
3,370 17 135
Its true that this time Tanzania among the african country tumekuwa honoured na USA/Bush. tumepata msaada wa fedha.. Its good money and honestly we need them!! Mungu asaidie ziende na kutumika kma mikataba inavyoonyesha. Na ni kweli pia dunia ya leo huwezi kujifungia chumbani ..bila kufanya biashara na contacts na the rest of the world ...ukapiga hatua ya maana kima endeleo na kijamii. swali langu la msingi ni: Wa Tz tufanyeje fedha kama hizi ziwe kama mtaji kwa maana kwamba ifike mahali zizaane na kuonekana wazi kuwa zile fedha zinajiendeleza...na kujiendeleza ..na kujiendeleza....to infity na out of that tujiedeleze wenyewe? Maana ikiwa hivyo It means time will come nchi au mtu haombi ... ombi na kuwa mzigo wa kupewa msaada tena. Nafikiri hapo tutaheshimika zaidi kama mtu , kama taifa na kama nchi. hatukatai misaada..na mikopo..we hardly need them ..lakini mpakalini?? Miaka 47 nchi imekuwa inapewa misaada ..but hakuna sense ya sustainability katika misaada...Taztizo liko wapi?! Lazima hili lifanyiwe kazi na kupewa msukumo wa dhati...kwa heshima na mstakabali wa uhuru wa Taifa
 

Forum statistics

Threads 1,237,780
Members 475,675
Posts 29,300,903