Interesting quote from the CNN Reporter on the Bush Visit

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
14
"The USA does not like to give money to people that steal money" US government thinking about the tax payer?? Wanajf im beginning to think bush knew a lito something about our fallen ministers leading to the reshuffle (Hamna cha richmond wala BOT??)...what do you guys think??
 
Kapinga,
They know lot more than we do, and that is the bottomline. Such money transfers are huge (£100,000)sijui per day or per month - whatever... in global banking systems, it gets flagged... hapo ndipo wanapojua mienendo ya hela zote duniani... hadi zile za michango ya alqaida...

Remember what Dr. Slaa said after paying them a visit last summer..... "They know more about these scandals than we do" or something similar..there you go!

SteveD.
 
Any bank in US or has a charter and license to operate in US, has to keep a register of any transaction more than $2000.00. Any transaction USD $10000.00 has to be reported to FBI, Secret Service, FINCEN. Pia kuna kuripoti hesabu zinazoonekana mushkili using a form called SAR (Suspicious Activity Report). Ndio maana ukiwa unaingia US wanakuambia ujaze kile kijikadi kutoa taarifa ya pesa gani taslimu unabeba.

Any transfer globally it has an electronic signature and they can track each transaction through banking or financial systems!
 
Kapinga,
Nimeona ktk BBC Bush akijibu swali hilo baada ya kupokea baadhi ya maswali... sasa sielewi huyo muulizaji yamemkuta yapi?...kilichoniudhi ni kuwa main topic limekuwa swala la Kenya na Kosovo yaani Bush anazungumzia maswala haya akiwa Tz.
Hata hivyo imesemekana tunapewa kitu kama millioni 700 zaidi kidogo ya fedha zilizojenga Benki Kuu (million 500) kwa hesabu za Wadanganyika.
 
Mkandara, it is US Dollar 700Million (>700Billion TSHS) in a period of five years.
 
Mkandara, it is US Dollar 700Million (>700Billion TSHS) in a period of five years.
Hapana Bwana; ni mia sita na ushee; sio mia saba' kwa miaka mitano.

Kenya wao hupata billion moja kila mwaka!
 
wateva da amount it is hata ingekua dola trilioni elfu ngapi...da main qn is ni kiasi gan kitawafikia walengwa hasaa??yaani wananchi??maana najua asilimia 80 italiwa na wenye nchi n 20 ndio kidooogo wananchi tufikiriwe..
 
Its true that this time Tanzania among the african country tumekuwa honoured na USA/Bush. Its good money and honestly we need it!! Mungu asaidie ziende na kutumika kma mikataba inavyoonyesha. Na ni kweli pia dunia ya leo huwezi kujifungia chumbani ..bila kufanya biashara na contacts na the rest of the world ...ukapiga hatua ya maana kima endeleo na kijamii. swali langu la msingi ni: Wa Tz tufanyeje fedhsa ksms hizi ziwe kama mtaji kwa maana kwamba ifike mahali zizaane na kuonekana wazi kuwa zile fedha zinajiendeleza...na kujiendeleza ..na kujiendeleza....to infity. Maana ikiwa hivyo It means time will come nchi au mtu haombi ... ombi na kuwa mzigo wa kupewa msaada tena. Nafikiri hapo tutaheshimika zaidi kama mtu , kama taifa na kama nchi. hatukatai misaada..na mikopo..we hardly need them ..lakini mpakalini?? Miaka 47 nchi imekuwa inapewa misaada ..but hakuna sense ya sustainability katika misaada...Taztizo liko wapi?! Lazima hili lifanyiwe kazi na kupewa msukumo wa dhati...kwa heshima na mstakabali wa uhuru wa Taifa
 
Hapana Bwana; ni mia sita na ushee; sio mia saba' kwa miaka mitano.

Kenya wao hupata billion moja kila mwaka!

Tanzania imepata $698 millioni, sawa na Tsh 830 bilioni hivi kwa miaka mitano ijayo. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi zaidi kutolewa kwa nchi moja.
 
Njereja,
Hata hiyo Benki kuu yetu imedaiwa kutumia kiasi hicho cha fedha!...siakuandika shillingi!..
Hii ni ktk kukuonyesha jinsi wadanganyika tutakavyo ibiwa fedha hizo, zitajenga pengine daraja moja tu.
 
Hizi tumepewa au tumekopeshwa?

haya ni malipo ya kutangulizwa (down payment) ya kitu kikubwa ambacho Marekani inataka kununua hapo bongo. Kumbuka kuwa hizi pesa hazifikii pesa ambazo makampuni ya nje ya madini hapo Tanzania (kina Barrick) yanatengeneza kwa mwaka - ukichukulia kuwa bei ya dhahabu inapanda kila leo kwenye soko la dunia!
 
haya ni malipo ya kutangulizwa (down payment) ya kitu kikubwa ambacho Marekani inataka kununua hapo bongo...

MWKike.
Very intersting, kufanya biashara na mwenzio na mkalipina kabisa but mimi sijajua tunauziana nini ingawa tumeshalipana....Unaweza kuwa na rough idea ni bidhaa gani ... tuliyofanyiwa hiyo down payement na Bw Bush? I hope it is not my daughter! Maana for sure i will return the Money! Sitaogopa kuchekwa.....kukamata mshiko niliokuwa sijui ni wa bidhaa gani! No it cant be my only Lovely dauther!
 
Back
Top Bottom