Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,746
- 40,899
Kesho nina interview kubwa mbili, lakini kutokana na ukata nalazimika kuchagua moja. Kuna ya Prof. Njozi kuhusu ujio wa Rais Bush, na kuna Dr. Harrison Mwakyembe kuhusu Kamati yake na yale yaliyojiri Bungeni. Naomba mnichagulie ipi tuifanye ili nimuombe mmoja wao kuahirisha.