Shilingi bilioni 800, Watanzania tuko milioni arobaini, si afadhali kila kichwa kichukue fungu lake! HAYO MAMBO YA VYANDARUA KILA MTU ATAJIJUA MWEYEWE. Wanamahesabu watuambie kila kichwa kitapata nini!