JK asifiwa kuhusu OBAMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK asifiwa kuhusu OBAMA

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Game Theory, Feb 18, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Looks like we are in a losing battle hapa. Huyu Mkewere naamini alifanya kitu kule Bagamoyo..yaani pamoja na kumporomoshea madogo lakini Tazama wazungu wanavyomsifia...Imagine Ikulu wangekuwa na website! this would have a good news clip lakini wapi Salava is more interested na kuwaburuza wenzie

  http://politicalticker.blogs.cnn.com/2008/02/17/bush-african-host-deflect-obama-query/
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  A classic diplospeak diversion, Dim alifanya kazi yake MOFA.

  Only one problem, mfumodume runs deep.Is JK counting Clinton out already? or the him/her thing is just too much for him?

  Halafu inaonekana kiingereza kinampiga chenga mpaka wanamsaidia hapo chini "as good [a] friend" instead of "as good friend".Did he really butcher it that much?

   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Feb 18, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  I don't see what/ where the big deal is with the way he answered it. I would expect the same/ similar public answer from any head of state. I just don't get some people sometimes....
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hongera Mkwere, we know you are trying hard and we can see the results, those who can not, let them be.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Feb 18, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  So what if Kiingereza kinampiga chenga? It's not his native tongue....geeez!!!! Kiingereza kigumu bana...hata native speakers wenyewe kinawapiga chenga...sembuse Mmatumbi
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Feb 18, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,790
  Likes Received: 5,051
  Trophy Points: 280
  Pundit,

  ..nimechanganyikiwa kidogo na hiyo sehemu niliyo-bold. may be i am reading too much? but, why is JK excited that Bush's tenure is winding up?

  Nyani Ngabu,

  ..JK served as a Min' of Foreign Affairs for 10 good years. English, not swahili, is the official language of our government. He should have no excuse for not speaking good english.
   
 7. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ukiona unaanza kusifiwa na vyombo vya marekani basi ujue kuna something wrong kati yako na raia wa nchi yako........
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  The question was centered for Obama. Lets be fair jamani, even though, does it matter really? I think what matters most is: the message was delivered and understood.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Feb 18, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Yes, he should!! Do you always speak good (grammatically correct)English? I will give a pass to anyone whom English is their third or fourth language. It's not easy. Not easy at all. I am around native English speakers everyday who don't always speak grammatically correct English...Hata sisi wenyewe hatuzungumzi Kiswahili fasaha kila siku. Msikilize hata Mwanakijiji kwenye matangazo yake. Saa ingine ana-stumble (sijui Kiswahili chake) akitafuta (ma)neno. Au msikilize yule dada mwenye kipindi cha mapenzi bongoradio....saa ingine hata maneno ya kiswahili hayajui na matokeo anakuwa anachanganya kiswahili na kiingereza.
   
 10. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mwafrika wa Kike,

  Kweli hili la rais Bush, mpeni JK sifa zake. Hata huku Europe sikumbuki kuona rais wa USA kakaa siku tatu kwenye nchi moja.

  Nafikiri kuna Watanzania wenzetu wengi ambao wamefaidika na hiyo ziara yake.

  Pamoja na kutokumpenda Bush, lakini hili la kukaa Tanzania siku tatu, mimi namshukuru na kuwapongeza wote waliofanikisha hilo.
   
 11. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sijakuelewa mkuu, english ni lugha ya 3 kwa wengi wetu na kujibu swali vizuri haijalishi kama lugha unayotumia umepatia au laaa ila tu kama umeweza kueleweka...
  Hii ya kuanza kucheck hata spellings za jinsi JK alivyojibu kwa kiingereza sioni kama ina mantiki....
   
 12. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2008
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Nyani Ngabu ,


  I couldn't agree with you more , kiingereza sio lugha yetu kwa hiyo makosa aliyoyafanya Kikwete ni ya kawaida kabisa kwa mtu ambaye kiingereza sio lugha yake ya kwanza . Mbona Bush anaadmit ya kuwa hana matatizo ya lugha na mwenyewe analikubali hilo ! Kitu kimoja ninachoweza kusema ni kuwa Kikwete alikuwa na confidence ya khali ya juu this time , nadhani ni muhimu kuanza kutoa credit pale panapostahili .

  Zaidi ya hayo nahisi watu hapa wana muda mwingi sana ndio maana wanaangalia kila sentence aliyosema Muungwana
   
 13. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kuna wakati vyombo vya magharibi vilimsifia mobutu kuwa ni one of the best leaders in Afrika wakati vikimuita Mandela kuwa ni gaidi! do your math
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Feb 18, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Ohoohohohohohohohohohohoooo....aisee Mwafrika hiyo ni kweli kabisa.....ohohohohohohohohoho.....ohohohohohohohohooooo
   
 15. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ukiona vyombo vya magharibi vimeanza kumwaga sifa kwa kiongozi wa afrika au nchi masikini basi fuatilia behind the lines uone nini kinaendelea!
   
 16. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante sana nyani ngabu kwa hoja yako murua
  Ifike wakati tuelewe kuwa lugha ya kuongea ni tofauti na lugha ya kuandika,hata wewe ukizungumza kiswahili leo wakati unahutubia bila kusoma popote tutakapoenda kuandika kazima tutaki-hariri ili kinyoke,isitoshe bush mwenyewe kiingereza anachoongea si kizuri sana,muhimu pale ni mawasiliano,je unaeleweka?hii kasumba ya kiingereza sahili inatufanya watanzania wengi tulio huku nje ya nchi tuogope kuonesha vipaji vyetu kisa tu kuogopwa kuchekwa eti hujui kiingereza.Hivi naomba niulize watu gani wanaongea kiingereza vizuri afrika,Nigeria,kenya,uganda,south africa au Egypt.Mwenzenu nikiangalia sana mfano wanageria naona wanaongea a language similar to english but they are very confident about it.
  Haya wachina,warusi,wajapan je?hapa ulaya waafrika wabongo tunaonekana bora kuliko hao.Mfano mdogo tu,kwenye chuo nilichopo kuna kasumba ya kuwasubject international students whose first language isnt english wapigwe paper,hata kama una toefl ukishindwa unaingizwa darasani six month sambamba na masomo yako.
  Wabongo wote tuliopiga hilo pepa tulitoka na A tukiwaacha wazungu na jamii zao.Je,hatujui english?tena wao native speakers wanaongea kibaya,kuliko sisi waambie waandike utacheka,yaani ni kama sisi kile kiswahili cha manzese na kariakoo,ndicho wao wanaongea na kuandika.They never speak formal english.
  Kwa mantiki hiyo kikwete big up,watanzania tujiamini hasa huku ughaibuni,tusijishushe.Ok,wakuu tuendelee na hoja.
   
 17. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wanaomsifia hawachambui contents, kusema "we are excited that Bush is at the end of his term" ni kama kusema we could not wait for Bush to end his term.This is what the anti-Bush coalition (from the Bill Mahers and the rest of the liberal commentators to some disgruntled Republicans) is saying.Kikwete kaboronga not only lugha bali hata content. Uzuri ni kwamba international press ikishaona mtu anashindwa hata ku form sentences in a grammatical form, wanaweka standards zao chini kidogo na kuangali kwenye the big picture kwamba Kikwete kaingilia kidiplomasia na kafanya uungwana kama mwenyeji kukwepesha swali na kutoa jibu lililo neutral.

  Lakini kusema we are excited kwamba Bush anamaliza muda wake, unless unamaanisha unampenda sana Bush na umechoka kuona anavyoshambuliwa (kitu ambacho a friend head of state cannot seriously say, kwa sababu ni afadhali rafiki anayeshambuliwa kuliko adui anayestawi) ni mchemko big time.

  Kikwete as always anachemka. Na by the way, katika ulimwengu wa utandawazi tusijidanganye kuwa lugha si kitu muhimu.Rais wetu anafanya kazi sio tu na Watanzania, bali pia katika world stage.Na lazima tukubali kuwa kiingereza ni lugha dominant duniani.There is no way around that unless tunajitegemea kila kitu.

  This sort of stuff people get only from some satirrical pieces from The Onion or some jokers like that
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Once again,

  PUNDIT you are ontop of your game

  Nilikuwa sijastukia hiyo ya grammar mbovu ya BWA'MKUBWA
   
 19. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Rais wa Tanzania anatakiwa atoke among the best of our minds.Mimi nakataa kuwa the best of our minds hawajui hata Kiingereza.

  Tatizo kama alivyosema Socrates, wanaoweza kuongoza, pengine kwa kuelewa mzigo na uchafu ulio katika siasa/kuongoza, hawataki kuongoza.Wenye uchu wa madaraka, kwa vile hawana hekima ya kuangalia uzito wa kazi na hawajali kama itawabidi kukumbatia uchafu na ufisadi, ndio wanaoingia katika uongozi.

  Kuna watendaji wazuri tu wa ngazi za kati na juu ambao wangeweza kufanya kazi nzuri zaidi.Tatizo this is politics.Competence does not necessarily translate to a guarantee in getting the job.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Feb 18, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Kweli lugha ni kitu muhimu. Lakini hata siku moja sijawahi kuona Foreign press (hususan zile kutoka nchi kama Marekani au Uingereza) zikimbeza kiongozi wa taifa jingine kwa kuzungumza kiingereza ambacho si fasaha. Pia vi-grammatical error vidogo vidogo sio nongwa hata kidogo. Hata Waingereza wanavifanya. Kufanya vikosa vidogo vidogo kuwa nongwa tena kwa mtu ambaye si mzungumzaji asili wa lugha ni kuzidisha na kukuza mambo ambayo si muhimu. Ni wapi Afrika (au hata Duniani) ambapo kila kiongozi wa taifa anazungumza kiingereza fasaha mara zote?
   
Loading...