Kama kura za uraisi zingekuwa zinapigwa kupitia mtandaoni na kujumuisha wapenda mtandao tu, na hasa kama JF ndio ingekuwa ni kituo pekee cha upigaji kura, basi Slaa angeshinda kwa kishindo. Hilo...
Wakuu,
Uchaguzi Mkuu ndiyo huo unakaribia na wiki si nyingi tutapata Wabunge wetu toka kila kona ya nchi yetu pamoja na wale wa Viti Maalum.
Kutokana na nafasi ya Bunge letu katika maendeleo ya...
Jana nilikuwa naangalia kipindi cha usiku wa habari TBC1.Kilichonistua si kingine ni huyu mgombea ubunge wa jimbo la Mtera kupitia CCM,aliyemwangusha Mzee Malecela(TingaTinga) katika kura za...
Je tutawaachia taifa tulilonalo hivi? Je tunataka wakue katika mfumo huu huu ambao wengine umechukua maisha yao; je wanajua wanaimbia "Tanzania" kama wazo.. ? Nimeshindwa kujizuia.. lakini I think...
Lipumba: Kikwete amekosa umakini Monday, 13 September 2010 20:22 0diggsdigg
Elias Msuya, Masasi
MGOMBEA wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya CUF, Profesa...
Utafiti uliofanyika hivi karibuni ulibaini kwamba katika vyama vitano makini Afrika CCM ni Namba moja vingini ni: Frelimo (Msumbiji), MPLA (Angola), ANC (Afrika Kusini) na chama cha ukombozi...
Hivi umewahi kujiuliza ni kwa sababu gani nchi ya Tanzania inazidi kudoroda katika nyanja zote za kijamii-kimaadili, kiuchumi, kiteknolojia, n.k?
Ni wakati muafaka sasa Watanzania tutambue kuwa...
mi kila asubuhi pale akilli yangu inapotulia,kwamba kwanini huyu muh. rais kikwete asiwekwe kwenye kile kitabu cha rekodi mbalimbali za duniani wakati yeye pekee ndio kaziweka???jamani naombeni...
HOTUBA YA SHUKRANI YA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA TIKETI YA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI
1 AGOSTI, 2010
Ndugu Mwenyekiti,
Ndugu viongozi wa kitaifa wa chama...
HII ni sehemu ya mwisho ya maswali alfu lela na moja kwa rafiki yangu, Rais Jakaya Kikwete, ambayo anapaswa kuyajibu kabla ya Oktoba 31 ili niwe nimeyasahihisha na kutangaza maksi atakazokuwa...
Tanzania tumeendelea. Wakati Kikwete anachukua nchi, shule za sekondari zilikuwa chache, kwa sasa ni nyingi... kila kata tanzania ina shule ya Sekondari. Hizo shule zisingekuwepo, hawa wangekuwa...
Angalia yafuatayo:
1. Manifesto isiyozungumzia Katiba Mpya wakati realities ziko wazi
2. Suala la Siasa za Zanzibar Vs Muungano
3. Kuchakachuliwa kura kupata wagombea wa CCM wengi wao wasio na...
Mimi ni mwenyeji wa wilaya ya Ludewa, mkoa mpya wa Njombe., lakini siishi huko. Wana Ludewa wenzangu, nimepata habari kuwa, mgombea ubunge aliyepita sasa aligawa kadi nyingi kwa wanafunzi wa shule...
Hebu tuzungumzie japo kidogo tu kuhusu hali ya raisi wetu.
Mwaka 2005 alianguka pale jangani tukapewa sababu hizi na zile.
Ameenda Mwanza CCM Kirumba ameanguka tena jukwaani, sababu...
Mimi nina wasiwasi na mikakati mibaya ya chama tawala dhidi ya vyama vya upinzani kwa malengo ya kupata ushindi kwa njia yoyote ile.
Tumewaona wagombea wa nafasi za ubunge waliopikwa na hichi...
ILI kuhakikisha kwamba wanaotoa ahadi katika kampeni zinazoendelea hivi sasa wanazitekeleza, tena wanazitekeleza kwa wakati ninapendekeza kuundwa kwa kamati kuu ya kufuatilia ahadi za kitaifa na...
Lile sakata la kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Hussei Bashe kuenguliwa katika nafasi ya kugombea ubunge katika jimbo la Nzega mkoani Tabora kwa kisingizio kuwa si raia ,limechukua sura Mpya...
Wana-jamvi,
Nimesoma vichwa vya habari na kuona mahali Dr. Slaa anashauri wanasheria wa Chadema wamfungulie mashtaka mke wa Rais. Huko Zambia yafuatayo yametokea - nimenukuu kutoka gazeti la...
NIMEFUATILIA kwa karibu mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu wa rais, bunge na madiwani nchini, utakaofanyika Oktoba 31, mwaka huu.
Licha ya kusimamiwa na sheria, kanuni,
utaratibu, bado kuna...
Hivi Muungwana alianguka tena jukwaani huko Sengerema na Mbeya? Hii ilifichwa bila shaka, ingawa siamini iwapo inawezekana kufichwa! Hebu someni sehemu hii ya makala ya Tegambwage katika...