Pope
Senior Member
- Dec 3, 2007
- 117
- 0
"Sijui ni uoga wa serikali, sijui ni utashi wa kutotaka kukosolewa? sijui ni nini kilichopelekea serikali kufikia maamuzi ya Kiimla kama walivyofanya?
Ningelikuwa Serikali kiukweli ningeitumia JF kupata source na kujua upande wa pili wa shilingi unasemaje kuhusu mimi kama sio nyimbo za mapambio na misifa?
Nakupa pole kipenzi JF ni nini kilikupata? kifo cako kilikuwa cha ghafla sana.