Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, kwa tiketi ya Chadema Elisha Nkhambaku amerudi tena CCM baada ya kufatwa na uongozi wa juu wa CCM ukimsihi arudi CCM ambako alijiengua baada ya...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
je ni kwa nini raisi anaposhiriki uchaguzi haachi madaraka ya uraisi hamuoni hili linanyima haki sawa kwa wagombea.......
0 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Mwanasayansi huyu wa siasa pamoja na mambo mengine anasisitiza kwamba,"mfumo wa vyama vingi unashabihiana na maendeleo ya viwanda na jamii na hufanya kazi vizuri kwenye jamii zilizostaarabika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Slaa akata anga Morogoro LEO Dk. Willlibrod Slaa alikuwa mkoani Morogoro, katika wilaya za Mikumi na Mvomero. Mikutano imefana. Amesisitiza haja ya Morogoro kuwa na wabunge wa upinzani...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Wananchi wa vijiji vya Mvumi na Mvomero mkoani Morogoro, wamewashitaki mfanyabiashara Jeetu Patel na Waziri Mkuu wa Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye kwa mkuu wa nchi, kwa kujimilikisha ndefu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Ninaomba kunielewesha kidogo juu ya muungano wa vyama vya upinzani mbeya mjini. Kwanza kabisa napenda kujua kama CHADEMA imo, Pia kama haimo kwanini? Kwa sasa naona kampeni za huyo jamaa wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa kweli inasikitisha sana hasa kwa sisi wapenda mabadiliko na wafuasi wa CHADEMA kuona haya mapungufu ya wazi katika kampeni za CHADEMA. Ukizunguka maeneo mengi Tanzania, mijini na vijijini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za nakala za gazeti la Changamoto, lilokuwa limesheni makala juu ya maisha binafsi ya Dr Slaa, zilinishitua sana kwa sababu siyo kitu cha kawaida, nilishituka zaidi kwa sababu makala kuu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ebu fikiri na useme tunajifunza nini katika picha hii? Je unapokuta picha hii kwenye mazingira haya unafikiriaje? uko tayari kutoa kura yako?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkulo asema Bunge lilibariki mishahara Kinana naye atoa ufafanuzi kilichojiri Makamba kama kawa aendelea na kejeli Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewasilisha utetezi wake rasmi dhidi ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Asante Mungu kwa kuipenda Tanzania hata ukamtuma mwanamapinduzi wa pekee Dr. W. Slaa ili kila Mtanzania atakayempigia kura apate kuleta ukombozi wa kweli. Tazama umemtuma kwa wapenda haki ili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii Comment nadhani imetulia, sasa tuhitimishe mijadala ya maisha binafsi na kuangalia masuala ya mustakabali wa TAIFA! Tujibu hoja za manufaa kwa wananchi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
East Africa Television (EATV), itazindua kipindi kipya cha uchaguzi kiitwacho Uchaguzi Express leo Jumatatu ya tarehe 06/ 09/ 2010 saa tatu kamili usiku. Kipindi hicho kitakachokuwa kikirushwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIONGOZI WETU AWE NA SIFA NA SI JINSIA Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna utaratibu wa kubadilisha viongozi wa ngazi mbalimbali za kisiasa kila baada ya miaka mitano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Muda si mrefu (saa 3 usiku) kwa mlio nyumbani kutakuwa na Jimbo kwa Jimbo ambapo hii leo mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema wa TLP atakuwa kwenye mdahalo na John Mrema wa CHADEMA...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakati wa mabadiliko ni sasa Wakati wa maendeleo ni sasa Wakati wa kumwingiza slaa ikulu ni sasa Ni kauli mbiu tu jamani Maisha yakiendelea hivi tutayaweza kweli ni wewe kufanya uamuzi sahihi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za kuvunjika vunjika zilizoifikia JIACHIE mapema leo (jana) asubuhi zinaeleza kuwa mmoja wa Wasanii wa muziki wa kizazi kipya,Fred Marik a.k.a Mkoloni (kulia) ambaye pia ni Mwanachama wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dah,nimetoka mkutano wa ccm na bilal alikuwepo. Iringa wamechoka ccm na hawaoni aibu kusema hadharani kwenye mikutano. Hii ya leo AIBU, mama mbega lazma anataka kujiuzulu ni noma but encouraging.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi najiuliza kama kweli Upinzani ukishinda je CCM watakuwa tayari kuachia madaraka??Au ndo kutumbukiza nchi katika vurugu je Upinzani unaweza kuongoza nchi??Je Kwa nini unadhani Jakaya Kikwete...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom