Elections 2010 Kazi Kwenu!!!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Wakati wa mabadiliko ni sasa
Wakati wa maendeleo ni sasa
Wakati wa kumwingiza slaa ikulu ni sasa
Ni kauli mbiu tu jamani
Maisha yakiendelea hivi tutayaweza kweli ni wewe kufanya uamuzi sahihi pekeee

clip_image001.jpg

clip_image001.jpg
Wanaoonekana pichani ni wanafunzi wa shule ya Msingi Juhudi iliyopo katika Wilaya ya Kigoma Vijijini mkoani Kigoma nchini Tanzania.

Tunaishukuru serikali yetu makini katika uboreshaji wa sekta ya Elimu Tanzania, wapiga kura hawa wa mwaka 2018-2020 wanafurahia Elimu yao kwa raha zaidi.

clip_image001.jpg

clip_image001.jpg
Jitahidini mle hivyo hivyo, ili mkue, watapita na matarumbeta kuwaomba kura zao
Mama endelea kutuchagua, tutawajengea barabara za juu na chini.

clip_image001.jpg
clip_image001.jpg

clip_image001.jpg
maisha bora.
clip_image001.jpg
Usijaliee, kanunue pipi au chakula mpiga kura wangu wa 2024

clip_image001.jpg
Yaani mama yake akirudi tuu, naondoka na sitii mkuu tena nyumba hii.

clip_image001.jpg #
Kazi kazi mpiga kura wa leo, maisha bora kwa kila mdanganyika.
clip_image001.jpg
Mkinichagua tu! Nitajenga vituo vya magari vya kisasa kila standi kuu!

clip_image001.jpg

Mkinichagua tu! Nitajenga vituo vya magari vya kisasa kila standi kuu!

Kama hawajuti hawa wazee, hatakaa ajute tena duniani. Anajutia na pia kufurahia kura yake ya kila baada ya miaka mitano Kikatiba ya jamhuri ya muungano wa Hapa Hapa.

Haya wapiga kura wa leo, kaeni na mfikirie kisha toeni jibu sahihi katika maamuzi yenu.
Mimi nilishaamua na uamuzi ni siri yangu.

Attachments

  • clip_image001.jpg
    clip_image001.jpg
    24.2 KB · Views: 51
Kazi kweli kweli, haya bwana maisha bora kwa kila mdanganyika.
 
You fool me once... It's your fault... U fool me twice... :confused2::confused2:
 
Nilivyoiangalia taarifa ya habari C10 jana jioni imenikatisha tamaa kuhusu Dr Slaa. Ndani yake sioni kama huyu bwana ni mtu wa MAADILI.
 
WILDCARD-Tatizo lako haujaamua na haujui unataka nini, ni bendera fuata upepo na CCM wanafahamu mpo wengi kama ninyi ambao hamjui mnataka nini, wao wanajua wanataka nini ndio maana wamejiwekea mfumo wa kufanya ufisadi na wapo katika mapambano ya kuulinda mfumo huo. Karagabao.
 
Sidhani. Uko huru kufikiri hivyo kwa niaba yangu. Dr Slaa, leo na kesho ni siku ya mapumziko ya kampeni. Tueleze angalau kidogo juu ya mama huyu.
 
Sidhani. Uko huru kufikiri hivyo kwa niaba yangu. Dr Slaa, leo na kesho ni siku ya mapumziko ya kampeni. Tueleze angalau kidogo juu ya mama huyu.
Ni kweli
lakini basi na wewe usitulazimishe kuyafuata hayo uanyofikiria
 
Back
Top Bottom