Hapa kuna haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa kuna haki?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kaka h, Sep 6, 2010.

 1. k

  kaka h Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je ni kwa nini raisi anaposhiriki uchaguzi haachi madaraka ya uraisi hamuoni hili linanyima haki sawa kwa wagombea.......
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  No haki in this country bwana.
  Ukitaka haki mfuate sweet heart wako.
   
 3. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  THUBUTU....Aachie madaraka abwagwe ki-katrina..!
  Hii ndo aina ya viongozi wasiofanya kitu afu wanang'ang'ania madaraka..!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  ....hata huyo sweetheart wako anaweza asikutendee haki pia.
   
 5. M

  MJM JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Siyo rais tu hadi mawaziri pia. Ni moja kati ya mapungufu ya katiba yetu
   
 6. m

  mjukuu2009 Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kweli kabisa apa kwenye katiba kunabidi marekebisho.uchaguzi ukimalizika tudai katiba mpya.
   
 7. k

  kaka h Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe wenzako kila siku wanalia kwenye uhusiano........so wewe umerizika
   
 8. S

  Shimwela Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania haki itakuja kutendeka tu na pekee tu, kama watanzania watakapo kimwaga ccm,otherwise tusahau
   
Loading...