Elections 2010 Mnamkumbuka Maurine Duverger???

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Mwanasayansi huyu wa siasa pamoja na mambo mengine anasisitiza kwamba,"mfumo wa vyama vingi unashabihiana na maendeleo ya viwanda na jamii na hufanya kazi vizuri kwenye jamii zilizostaarabika na zinazoongozwa na utaifa,uzalendo na maadili ya taifa."

Pia anasisitiza kwamba ilichukua nchi kama Uingereza zaidi ya karne moja kuridhia mfumo wa vyama vingi vya siasa.!!!Hivi sisi tulikurupuka??Nia ya dhati au mchongo wa ruzuku????
 
Back
Top Bottom