kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 59
Wakuu,
Ninaomba kunielewesha kidogo juu ya muungano wa vyama vya upinzani mbeya mjini. Kwanza kabisa napenda kujua kama CHADEMA imo, Pia kama haimo kwanini? Kwa sasa naona kampeni za huyo jamaa wa CUF anayeungwa mkono na vyama vilivyoungana zimenoga, Je si wakati mwafaka kwa CHADEMA sasa kuungana na vyama vingine? kama haijafanya hivyo.
Ikiwa CHADEMA haimo kwenye muungano huo, Nafasi ya ushindi kwa mgombea wa CHADEMA (Sugu) ikoje?