Sumaye agoma kumchafua Slaa
Na Ezekiel Kamwaga
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ameingia katika kampeni za mgombea urais wa chama chake kwa sharti la kutomchafua Dr Willbrod Slaa...
Ni mtazamo tu msijenge chuki
Kuna uwezekano mkubwa ccm ikashinda uchaguzi mkuu bara kwa kutegemea sana kura za nzazibar.Ccm ambayo ina wanachama karibu nusu ya wapiga kura wa zanzibar ambao...
Nipo hapa uwanjani (umoja), namba t437 apa, t945anz, t751anz(machinga trans)...na baadhi ya maroli yanasomba watu vibaya mno.....na sasa hivi hapo nje kuna mapikipiki na mabajaji mengi mno...
Kwa ufahamu wangu CCM ndiyo tunaowatarajia kuchakachua kura kwa sababu hata wao wanajua wapigakura safari hii "hatudanganyiki" na mikakati ya CCM kupambana na dhuluma za ufisadi ili kumwezesha...
Inakera sana kila kukicha Dr Jk anazidi kuchanja mbuga wakati mnasafirisha watu kwenye mikutano yake kwa maroli, first of all binadamu hawatakiwa kusafirishwa kwenye malori lkn kwa kuwa CCM na the...
hili nilikuwa nalitarajia toka kwa ccm kuwa wangeandaa kongamano la kupingana na lile la wanazuoni siku ya kumbukumbu ya mwl nyerere,hebu tufanye tathimini,wapi walimuenzi mwl nyerere?ni hao...
Kuna taarifa ambazo zimeingia muda si mrefu ujao ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaandaa maandamano makubwa na ya kihistoria yatakayolitikisa Jiji la Dar wiki ijayo, wiki ya...
no one can force you to see, if your eyes is open,
no one can force you to understand if your brain is perfect,
no one can force you to decide to live a bad life if you stand for a better life...
Wana JF,
Leo katika pita pita yangu nilikuwa kwenye msiba wa baba ya rafiki yangu na nikawa pembeni na wananchi walio hudhuria mazishi na mara ghafla wakapita wagombea wote wa jimbo hilo kwenda...
N imesoma kwenye gazeti la tanzania daima la leo kuwa Chama cha mapinduzi (CCM) na taifa zima kwa kwa sasa vinaongozwa kwa mfumo UTATU mtukutu, kwenye gazeti umeitwa BMW yaani Baba (Kkwete)...
Wakuu kama mnakumbua ushindi wa SISIMU mwaka 2005 ulichangiwa sana na Lowasa?Pia shule zote za kata zilijengwa kwa amri yake?Alianza kurudisha uwajibikaji serikalini?Kauli ya maisha bora ilikufa...
Kuanzia sasa tbc wanataka kujiunga na watangazaji waliopo kigoma,kutuletea matangazo ya kuzimwa kwa mwenge na kikwete,hivi hawana taarifa kuwa kuna mdahalo pale nkrumah udsm wenye tija kwa taifa...
Kama inavyofahamika kuwa watanzania wote wazalendo tutajumuika kwa pamoja katika kuchagua viongozi wetu watakaotuongoza na kututumikia kwa miaka matano ijayo 2010-2015 lakini sasa swali kubwa...
Nimeinakili habari hii kwenye Jukwa la siasa na ilianzishwa na RADI ( Mwana JF) Laikini nimeona inafaa hapa Jukwaa la Uchaguzi pia kwani Rostam anagombea ubunge
KICHWA KILISEMA: Rostam mdeni...
Imenishangaza sana leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kikwete kutumia siku ya kuzimisha mwenge wa uhuru kufanya kampeni. Alikuwa anatoa ufafanuzi wa tatizo la maji Kigoma. Yeye amesema kuwa...
Wandugu, pamoja na nyombo nzuri saana ambazo tumekuwa tukizisikia toka kinywani mwa ccm kuna meeengi ambayo hatuyajui wala hatujayaona.
Sijui wenzangu kama mlishafanikiwa kuona kilichofanywa...
FemAct yabeba wanafunzi elimu juu 60,000 kupiga kura
Na Restuta James
14th October 2010
Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (FemAct) na mashirika mengine ya kiraia, yameandaa...
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!!
SASA HALI KAMA HII...