Wapi walimuenzi nyerere leo?ccm-karimjee hall au wanazuoni nkrumah hall? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi walimuenzi nyerere leo?ccm-karimjee hall au wanazuoni nkrumah hall?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 14, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hili nilikuwa nalitarajia toka kwa ccm kuwa wangeandaa kongamano la kupingana na lile la wanazuoni siku ya kumbukumbu ya mwl nyerere,hebu tufanye tathimini,wapi walimuenzi mwl nyerere?ni hao vijana waliopelekwa na mabasi pale karimjee hall au wanazuoni na wananchi wengine waliokuwa pale udsm?
   
 2. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  UDSM walifunika. Walijadili masuala yanayohusu mstakabali wa nchi. Karimjee ni porojo tu. Bye CCM, Bye Kikwete
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa na mwaliko wa Karimjee kwani niliambiwa kuna kusaini baada ya mkutano kama ilivyo kawaida ya ccm but ninaamini katika mabadiliko yenye manufaa kwa wote na wala mimi si kijana ambaye ni opportunist so nikaamua kuelekea ud na kwa kweli ipo siku mabadiliko yanakuja nchini kwani wengi wameamua kuutafuta ukweli kwa kumtumia mwalimu
   
 4. TGS D

  TGS D Senior Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nikusahihishe kidogo kwamba haikuwa nkrumah hall bali debate ilikuwa nyerere lecture theatre.
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Sisi wasanii tulikusanyika pale Starlight hall kwa shughuli hiyo na ilifana sana. wajumbe wa serikali walikuja na kustushwa na wingi wa wasanii na hata maandalizi tuliyoyafanya. It was wow kwa kweli.
  Nitaweka picha
   
 6. u

  urasa JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  weka picha msanii
   
Loading...