Kuzimisha Mwenge wa Uhuri kwa geuka kampane ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzimisha Mwenge wa Uhuri kwa geuka kampane ya Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 14, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Imenishangaza sana leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kikwete kutumia siku ya kuzimisha mwenge wa uhuru kufanya kampeni. Alikuwa anatoa ufafanuzi wa tatizo la maji Kigoma. Yeye amesema kuwa alichomekewa na msherehejaji ili suala la maji alitolee ufafanuzi. Cha ajabu yale aliyokuwa anayatolea ufafanuzi yalikuwa kwenye hotuba yake yameandaliwa. Alisoma data za mahitaji ya maji kwa meter qubic, uchache wa matenki kuhifadhia kwa qubic meters , capacity ya majenereta na uchakavu wa mabomba, N.k. Hivi kikwete hakuwa kigoma juzijuzi kukampeni kwani watu wameshasahau maelezo aliyoyatoa kuhusu maji?

  Pia kama kawaida yao wavaa majani ya kijani walikuwepo kuhakikisha kuwa uwepo wa chama unajidhihirisha waziwazi uwanjani hapo

  Kwa Kweli watakampeni kwa stahili za namna Mbali lakini mwaka huu cha moto watakiona
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mwaka huu atashaa...
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  atashangaa sana
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Akiondoka sehemu moja huku nyuma watu(tena watu wenyewe wa CCM) wanaharibu. Mwaka huu analo.
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ...am sorry alisema nini kuhusu huo mwenge... I mean kilichomfanya aufuate huo mwenge hapo ni nini?
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kwa ujumla alizungumzia madhumuni ya kuuwasha Mwenge aliyoyataja mwalimu nyerere. Indirectly alikuwa anamponda Dr. Slaa aliyepania kuuweka mwenye kwenye jumba la makumbusho.
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK hata akienda msalani anapiga kampeni huko kwi kwi kwiiiii
   
 8. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 9. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mwaka huu atashangaa. Mambo mazito kwelikweli.
  Unajua watu wa busara wakiajiriwa, hufanya kazi kwa bidii ili ukifika wakati wa ku-renew mkataba mwajiri asigune. Ukiboronga anaweza asikuongezee mkataba. Miaka mitano ikiisha anatafutwa mwingine, wewe wa zamani bye bye!!:dance:
   
Loading...