Elections 2010 Hivi ccm wanakumbuka waliyofanya tarime?

eucalyptos

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
391
139
Wandugu, pamoja na nyombo nzuri saana ambazo tumekuwa tukizisikia toka kinywani mwa ccm kuna meeengi ambayo hatuyajui wala hatujayaona.
Sijui wenzangu kama mlishafanikiwa kuona kilichofanywa Tarime na CCM kwa kutumia dola, hila, uongo, wizi, usanii na kujaribu kumwaga damu ya WATANZANIA wanyonge, yoote hayo ni kwaajili ya kuwatishia kuwa "BILA CC.. ETI HAKIELEWEKI".

Nilifanikiwa kupata hii documentary hapa Documentary ambayonadhani wengi wetu hatukuwahi kuiona japokuwa baadhiya matukio yaliripotiwakwenye vcituombalimbali vya runinga lakini ni mengi hayakuonyeshwa.

Hebu tutafakari na kumuomba Mungu kwa nguvu zetu zote kuwa Watanzania waamkeusingizinina kuwaondoa "MAKABURU HAWA MADARAKANI"
 
CCM wameshaanza kumwaga damu kupitia kwa green guard naona tutakuwa kama Somalia soon
 
Back
Top Bottom