GE2010 Wananchi kuinyima kura chadema!!!!!!

Kadogoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2007
Posts
2,073
Reaction score
345
Hizo ni propaganda tu usiwe na pressure time will com.
 
Kwani hawajawakataa wagombea wa ubunge wa CCM mbele ya JK. Uliza Siyame Mbozi, Kigwangala Tabora nk. Hata CCM wamekwishaikataa mbele yake mwenyewe JK hadi anadai wampigie wanayemtaka lakini CCM itashinda kwa kishindo. By the way Chadema ndiyo walitakiwa kuogopa lakini ukiona mafisadi wanaogopa ujue mshindo ni mkubwa.

Walipewa madaraka, wakalala usingizi...... (Dr. Remmy)
 
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!!

SASA HALI KAMA HII ITAMFANYA SLAA AWEZE KUTEKELEZA SERA ZA CHAMA CHAKE IKIWA ATACHAGULIWA NA HUKU HANA WABUNGE WAKUTOSHA KUIDHINISHA BAJETI BUNGENI?

Ha ha haaa
Kadogoo bana. Hukuwi tu?
 
Ukisema kila kona unamaanisha nini?takwimu zingekuwepo tungekuwa nala kusema!hizi ni kelele tu za wasiopenda upinzani hasa chadema...ni kama baadhi ya vyombo vya habari wakitokea watu wa5 wakarudisha kadi za chadema wao wanaripoti rundo la wanachama wa chadema warudisha kadi,ulishawahi kusikia (mara ngapi) wa ccm au TLP waliorudisha kadi?inamaana hawapo?HIZI NI PROPAGANDA TU..ndio siasa za ulimwengu wa 3
 
kila ninachopost mimi kadogoo, hukutana na mgomo wa wana jf kutotaka kuchangia, jamani nimewakosea nini? Niambieni nijirekebishe!

?

[]

tuma jumbe zenye akili dogo!
 
bado hujui kuwa kikwete anazomewa pamoja na wagombea ubunge wake sehemu kibao apitako?.............mbeya walisema hawamtaki siyame, mwanza yametokea halikadhalika...............
DR.SLAA FOR CHANGE
 
Hako kajamaa sijui kamesoma wapi. In sensitive matters like election, Quantifying adjectives are only appropriate after a deep research. Kajamaa kanabwata tu 'KILA KONA'
 
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!!

SASA HALI KAMA HII ITAMFANYA SLAA AWEZE KUTEKELEZA SERA ZA CHAMA CHAKE IKIWA ATACHAGULIWA NA HUKU HANA WABUNGE WAKUTOSHA KUIDHINISHA BAJETI BUNGENI?

Mbona JK na CCM yake mambo hayo ni lukuki au NI KWELI NYANI HAONI KUNDULE?
 
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!!

SASA HALI KAMA HII ITAMFANYA SLAA AWEZE KUTEKELEZA SERA ZA CHAMA CHAKE IKIWA ATACHAGULIWA NA HUKU HANA WABUNGE WAKUTOSHA KUIDHINISHA BAJETI BUNGENI?

SOURCE: http://www.mwananchi.co.tz/habari/5-habari-za-siasa/5507-ntagazwa-akataliwa-mbele-ya-dk-slaa

millet-president-jakaya-kikwete.jpg
 
Hivi CCM waliacha kukodisha wazomeaji katika mikutano (hii ni mbinu ya 2005 naona wameikumbuka)
 
:blah: :blabla: :rockon:
Toa facts mkuu. Mbona alipokuwa Iringa mjini mheshimiwa hamkusema nani alikataliwa na wananchi
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!!

SASA HALI KAMA HII ITAMFANYA SLAA AWEZE KUTEKELEZA SERA ZA CHAMA CHAKE IKIWA ATACHAGULIWA NA HUKU HANA WABUNGE WAKUTOSHA KUIDHINISHA BAJETI BUNGENI?

SOURCE: http://www.mwananchi.co.tz/habari/5-habari-za-siasa/5507-ntagazwa-akataliwa-mbele-ya-dk-slaa
"ukiona mwenzio ananyolewa, ........................?"
 
Ukisema kila kona unamaanisha nini?takwimu zingekuwepo tungekuwa nala kusema!hizi ni kelele tu za wasiopenda upinzani hasa chadema...ni kama baadhi ya vyombo vya habari wakitokea watu wa5 wakarudisha kadi za chadema wao wanaripoti rundo la wanachama wa chadema warudisha kadi,ulishawahi kusikia (mara ngapi) wa ccm au TLP waliorudisha kadi?inamaana hawapo?HIZI NI PROPAGANDA TU..ndio siasa za ulimwengu wa 3

wanaorudisha kadi za chadema kwenye mikutano ya ccm ni wahuni wa ccm wanaandaliwa. kwa nini wasirudishe walikozipata ambako ni chadema?
 
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!!

SASA HALI KAMA HII ITAMFANYA SLAA AWEZE KUTEKELEZA SERA ZA CHAMA CHAKE IKIWA ATACHAGULIWA NA HUKU HANA WABUNGE WAKUTOSHA KUIDHINISHA BAJETI BUNGENI?

SOURCE: http://www.mwananchi.co.tz/habari/5-habari-za-siasa/5507-ntagazwa-akataliwa-mbele-ya-dk-slaa

lakini hii inaonesha uhalisia wa kampeni za ukweli. hao watu wangekuwa wamesombwa na magari na kulipwa pesa wasingethubutu kumkataa mgombea. watashangilia tu kwa nguvu hata kama kinachosemwa hakistahili kushangiliwa ilimradi waonekane walikuwa active ili wasije acha kurudishwa makwao na labda hata wasije acha kupewa posho!
 
Kule Mbeya vijijini mji wa Mbalizi walisema sana JK ameibomoa Chadema na viongozi wote na wanachama wamerudisha kadi na kuonyesha picha ya yule msaliti waliyemnunua. Wanaume wakamuonyesha jinsi anavyodanganywa

Mabango%5B1%5D.jpg

Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa Mbalizi mkoani Mbeya, wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali, wakati wa mkutano wa Dk. Willibrod Slaa.

Mgombea ubunge katika jimbo la Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Mr Sugu), akiwatumbuiza wananchi wa mji wa Mbalizi, wakati wa mkutano wa Dk. Willbrod Slaa.

Dk. Willibrod Slaa akihutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mbalizi mkoani Mbeya, kwenye Uwanja wa Stendi ya Mabasi.
 
Back
Top Bottom