Lawasa akumbukwa sana na SISIMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawasa akumbukwa sana na SISIMU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkombozi, Oct 13, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu kama mnakumbua ushindi wa SISIMU mwaka 2005 ulichangiwa sana na Lowasa?Pia shule zote za kata zilijengwa kwa amri yake?Alianza kurudisha uwajibikaji serikalini?Kauli ya maisha bora ilikufa na mwaka huu haipo baada ya Lawasa kupigwa chini.Alitaka kununua mvua?Alikua engine kubwa sana ila kakashifa ka RichMonduli kaka mwangukia.n
   
 2. u

  urasa JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ushindi wa kuunda mtandao wa kuwachafua wakina sumsye,salm ahmed salm,na mtandao ulifanikisha wizi wa epa
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Laana ya Dr. Salim inawamaliza taratiiiiiiiiiiiiibu
   
 4. B

  BigMan JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  jamaa anarudi na nafasi ya uspika wa bunge kuelekea 2015 kuchukuwa nchi akiwa na kauli mbiu ya jimbo la Monduli "TULIFURAHI PAMOJA,TULIHUDHUNIKA PAMOJA NA TUTASONGA MBELE PAMOJA NA TUTASHINDA" kazi kwenu wote mnaomuona ntimanyongo mtajiju.
   
 5. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wote wamefulia tu ni mafisadi wao na chama chao wanyimwe kura tu
  31 oktoba tu:A S thumbs_up:
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa hivi Sitta si alisema anagombea tena uspika kaishia wapi?hahaaa
   
 7. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namkumbuka sana kwa ahadi ya mvua kutoka Thailand! Duuu Lowassa
   
 8. m

  mzalendo2010 Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:-

  • Elimu Bora.
  • Miundombinu mfano barabara.
  • Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika sehemu husika
  • Ajira, kutengeneza nafasi za ajira hasa kwa vijana na akina mama
  • Huduma ya maji safi na salama
  • Uchumi, kipato kuanzia ngazi ya kaya/familia
  • Kuboresha kilimo etc etc
  Fungua kiambatanishi kuona anachowashuhudia wananchi wake kile alichokifanya kwa miaka mitano iliyopita.....Tanzania tunaelekea wapi?, je hakuna wachapa kazi wanaoweza kuleta mabadiliko hasa katika jimbo hili?
  Hali imekuwa tofauti kwa Muheshimiwa SIX mbunge wa jimbo la Urambo mashariki, sera zake haziniingi akilini, nashangaa kwa nn wananchi wanaendelea kumkumbatia, Nimefanikiwa kufika Urambo, katika jimbo la huyu mheshimiwa, hali ni ya kutisha, ukizingatia kuwa hii wilaya ni miongoni mwa top three ya wilaya zinazoongoza kwa ukusanyaji wa mapato, cha ajabu miundombinu ni mibaya kuliko maelezo, maji ni tatizo,elimu hali kadhalika.....
   

  Attached Files:

 9. T

  Tz Asilia Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ndio huo na uwezi kumfananisha Lowassa na wezake yeye kafanya kazi jimboni mwake ndio maana wananchi wengi wa Monduli bado wana imani na Lowassa.
   
 10. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sio kazi ya mmbunge kufanya majambo jimboni mwake, jimbo lolote linaloshamiri bila ya mchango mkubwa kiuchumi kitaifa ujue huyo ni hasara ki taifa na huyo mmbunge ni mmbinafsi, mmkabila, yupo kwenye uongozi ambao unadhani ni wao ndio wenye haki na hatufai kama kiongozi.

  Kazi ya mmbunge ni kuwawakilisha watu wake kidemokrasia kwenye siasa za kitaifa na kupeleka maombi yao bungeni; kutatuliwa ni mipango ya serikali kuu. Sasa tusisherekee eti mmbunge kafanya nini wakati majimbo mengine yamekwama kwa kuwa wabunge zao hawana nguvu na hawapo influential has mafisadi na kuwapa sifa mijitu michoyo. Wabunge wa namna hiyo ni wakabila na wasioipenda nchi kujijali wao na kwao na pia si kazi ya mmbunge kujenga kwao.

  Tunapotoshana sana wakati mwingine ndio sababu watu hawaelewe ni nini hasa kazi ya mkuu wa wilaya wala mkuu wa mkoa na nini hata maana ya local government. Mmbunge yeyote aliekupendezesha kwao ujue ni at the cost of national development.
   
 11. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  nyerere alisema kabla hajafa kuwa hafai kutokana na kuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali, watu wakampuuza huyu mzee. Ilitakiwa kikwete ampige chenga lowassa kutokea mwaka 2005. Tazama jinsi lowassa alivyoipka ccm yote matope mapaka sasa hata wanaccm hawataki hata kuipigia kura.

  Ndani ya m,iezi 6 tu ya uwaziri mkuu kesha ingiza dili ya richmond.
   
 12. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  juma contena acha kupamba lugha namna hiyo. Majimbo mengine yanakwama kutokana na wizi, ubadhirifu na ufajaji wa fedha na raslimali za umma unaofanywa na wabunge kama akina lowassa, sio siri hii mboona iko wazi
   
 13. T

  Tz Asilia Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si kushangai labda ujui katiba ya Nchi kuhusiana na mbunge.
   
 14. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Only partly to blame, lakini embu angalia na government policies how are they implemented ina maana watu waache sehemu kibao zenye faida ya kuwa na barabara za maana kurahisisa uchukuzi unao hitajika au kujenga shule kutokana na right ratio nationally. Wapeleke huko Monduli na kwengine mnapo wasifia hao wabunge wanaofanya mambo ya maana kama sio kujipendelea ni nini?

  Kitu kingine sehemu zingine wala akuna makono ya wezi wakubwa ni uongozi mmbovu tu na inadequate funding na vitamaa vidogovidogo kwa wale wanao andika checks . Lakini mmbunge yeyote anae kupamba kwao kupita average na majimbo mengine si wa kusifiwa.
   
 15. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  na wala sina muda wa kuitafuta na kuisoma (najua ntakuta upuuzi gani at 80%) kwa sababu hata sidhani kama unaelewea the role of ministries, ndio maana only in Tanzania unaweza kukuta viongozi wapuuzi kwenye wizara nyeti kama za mambo ya ndani, fedha na elimu.
   
 16. T

  Tz Asilia Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi huna haki ya kulaamu.
   
 17. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  alikadhalika na wewe usipotoshe ama tuletee hicho kipengele (its a dare). Vinginevyo siku ama jioni njema.
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mwizi ni mwizi tu hata akiwa mwanao ni mwizi .
   
 19. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,457
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Mwizi ni mwizi lakini unazidiana kuna yule anayekwangua kila kitu.
   
Loading...