Kumbe Tanzania na CCM vinaongozwa na utatu "mtukutu". | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Tanzania na CCM vinaongozwa na utatu "mtukutu".

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzizi wa Mbuyu, Oct 13, 2010.

 1. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  N imesoma kwenye gazeti la tanzania daima la leo kuwa Chama cha mapinduzi (CCM) na taifa zima kwa kwa sasa vinaongozwa kwa mfumo UTATU mtukutu, kwenye gazeti umeitwa BMW yaani Baba (Kkwete), Mama(Salma) na Watoto(Ridhwani & Miraji)!
  Hii ndiyo nchi tunayoitaka wa Tanazia????!!!
  Kila mwenye akili akatae ujinga huu ifikapo Oct31/10/2010
   
 2. p

  pierre JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii??????????????
   
 3. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nimeishajiandaa kuchukua hatua ya kusitisha hilo. na wengine wanaopenda nchi hii, wafanye hivyo.:A S thumbs_up:
   
 4. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kama hutaki kuongozwa na utatu mtakatifu basi subiri uongozwe na mahakama za kadhi maana hizi zitawashugulikia wanaopora wake za watu na kufanya nao ngono!!!
   
 5. K

  Kataa New Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  unaanzisha topic bomu halafu unakimbia kwa kuona umepost uozo!!!!
   
Loading...