Kikwete amtambulisha mgombea udiwani mwanamke kumbe mwanaume; SIASA INA MAMBO

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
udiwani sasa anavaa nguo rasmi

na Ahmed Makongo, Bunda

amka2.gif
MGOMBEA udiwani wa kata ya Balili, kwa tiketi ya CCM, Edda Motte, ambaye hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya cham hicho, Jakaya Kikwete, alimtambulisha kwamba ni mwanamke kutokana na tabia ya kuvaa nguo za kike, sasa amebadilika na amekuwa akiomba kura akiwa amevaa nguo za kiume.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho wilayani hapa, ambao hawakupenda majina yao yaandikwe, wamedokeza kuwa mgombea huyo sasa anavaa nguo hizo tofauti na awali na kwamba hali hiyo imetokana na uongozi wa CCM pamoja na wafuasi wake kumshawishi afanye hivyo.
Wakati wa ziara yake wilayani Bunda, Rais Kikwete wakati anatambulisha wagombea udiwani, alimtambulisha mgombea huyo kama mwanamke baada ya kumuona amevaa nguo za kike kwa kujifunga kitenge.
Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hizi katika mikutano yote ya kampeni ya mgombea huyo, umegundua kuwa siku hizi ameacha kujifunga kitenge na anavaa traki suti. Wakati huo huo, mgombea huyo amewaomba wananchi wa kata hiyo kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo.
 
So what? lete hoja
mix with yours
 
hapana huyu mgombea ni dume jike,na mara zote nilizokaa hapo bunda huwa anavaa msuli na vitenge juu t shirt! ana wake ameowa na watoto pia,inasemekana sehemu ya kiume ndo active! si kosa la JK!
 
hata mimi bila kumuona tu ningedhani mwanamke kwa sbb kwa mazoea edda ni jina la kike.
 
huyu sion ajabu kama walimsakizia cheki yenye figure tofauti na maandishi na akuiona wht nexty??
 
mpaka sasa sijaelewa lengo la mweka thread hii.
lakini ndo JF hii na tunaipenda
 
Back
Top Bottom