Elections 2010 Jeshi la polisi bukombe limefanya kazi ya ziadakukamata watu wakinunua shahada

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Habari za uhakika nimejulishwa na rafiki yangu toka Bukombe kuwa Jeshi la polisi linawashikilia watu waliokamatwa wakinunua shahada ZA KUPIGIA KURA.jESHI HILO IMEBIDI LIFANYE KAZI YA ZIADA kuwakamata Mafisadi hao kwani walionyesha kutokutii amri halali ya jeshi hilo ni hivyo kuwafanya polisi kufyatua risasi.Inasemekana polisi wilayani humo wamekuwa katka mvurugano na mbunge anayemaliza muda wake bwana Luhahula kwani amekuwa akiingilia sana uhuru wa jeshi hilo ktk kutekeleza majukumu yake.Inaonekana Mafisadi hayo yanbanunua shahada kwa manufaa ya Mbunge huyo.

Inasemekana mji bado haujakaa sawa kwani vurugu za kuwakamata zilikuwa na impact kwenye shughuli za kiuchumi mjini hapo
 
wasisamehewe hao wafikishwe Mahakamani, TUWE KAMA WACHINA SASA!
 
Back
Top Bottom