Pendekezo kwa Raisi mtarajiwa, kukipa chuo cha saana bagamoyo jina la Kikwete

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,391
4,055
ili kumuenzi Jakaya Mrisho Kikwete ningependekeza raisi mtarajiwa akipe chuo cha Saana Bagamoyo Jina la Jakaya Mrisho Kikwete International College on Cultural and Entertainment, na kuongeza mitaala ya chuo kwenye maeneo mengine ya utamaduni na viburudisho kama taara, bongo fleva/flava, ngoma, hii pia itakuza maendeleo ya hapo Bagamoyo na kuongeza ajira, pamoja na utalii wa vitu vya utamaduni na viburudisho, na pia kusaidia au wa vutia akina bush na wengineo kuja tena bongo. tunaweza kupafanya pakawa Bwagahood yetu
 
Nadhani ni vizuri kikiendelea kuitwa BAGAMOYO, hata watu wa bagamoyo ni heroes wa Tanzania. Hata jina la TASUBA sioni kama lina maana, hakuna haja ya kuendelea kutukuza watu kwa kuwa wanasiasa, hata wasio wanasiasa nao ni heroes.
 
ili kumuenzi Jakaya Mrisho Kikwete ningependekeza raisi mtarajiwa akipe chuo cha Saana Bagamoyo Jina la Jakaya Mrisho Kikwete International College on Cultural and Entertainment, na kuongeza mitaala ya chuo kwenye maeneo mengine ya utamaduni na viburudisho kama taara, bongo fleva/flava, ngoma, hii pia itakuza maendeleo ya hapo Bagamoyo na kuongeza ajira, pamoja na utalii wa vitu vya utamaduni na viburudisho, na pia kusaidia au wa vutia akina bush na wengineo kuja tena bongo. tunaweza kupafanya pakawa Bwagahood yetu

Nakubaliana nawe -- hasa ikizingatiwa usanii mkubwa JK aliowafanyia Watz katika kipindi chake chote cha uongozi!!!
 
kama kikwete akishinda wala asifikirie hilo kwani hata yeye hakuona umuhimu wa kuuita uwanja mpya wa mpira wa miguu benjamini mkapa.
 
ben kapewa lile jengo refu kuliko yote dar na pia daraja kubwa kupita yoootee tanzania linalo kwenda kusini, sasa ndugu yetu/kaka yetu/shemeni /baba/rafiki nk nk amefanya mengi saana katika kuendeleza saaana, kuanzia kwenye mienendo yake, siasa zake , na kuwatumia wasaniii katika kupitisha sera zake, na hata safari zake za kutalii jamaica , hollywood? au kuonana na wanamziki nguli huko majuu zinaendana na wasifu wake, hata Prof Lipumba kasema hivyo kwamba mdogo wake/kaka yake Jakaya Mtoto wa Mrisho Kikwete anapenda saana anasa.
Sasa tukifanya hivyo anaweza kutulia nyumbani , kwani wapenda anasa wenzake watakuja na yeye mwenyewe atakuwa na mahali pa kwenda badala ya kusafiri kila siku. hivyo watakaokuja watatuletea fedha za kigeni, na asiye safiri kwenda nje atahifadhi fedha zetu za kigeni, huko ndiko kuinua uchumi wa ndani na kutengeneza ajira milioni moja, infwact bagamoyo inaweza kuizidi zanzibar kwa beach tourism na vikorombwezo vyake.
 
ili kumuenzi Jakaya Mrisho Kikwete ningependekeza raisi mtarajiwa akipe chuo cha Saana Bagamoyo Jina la Jakaya Mrisho Kikwete International College on Cultural and Entertainment, na kuongeza mitaala ya chuo kwenye maeneo mengine ya utamaduni na viburudisho kama taara, bongo fleva/flava, ngoma, hii pia itakuza maendeleo ya hapo Bagamoyo na kuongeza ajira, pamoja na utalii wa vitu vya utamaduni na viburudisho, na pia kusaidia au wa vutia akina bush na wengineo kuja tena bongo. tunaweza kupafanya pakawa Bwagahood yetu

Napendekeza awe ndiyo Mkuu wa Chuo hicho baada tu ya kukabidhi ofisi wiki chache zijazo.
 
bajeti ya hiyo chuo haitamtosha kwenda USA maana atadai anawafanyi connections wanafunzi na wasaa nii wa Holywood na itamlazimu kuwa holywood kila wikiend.
 
Wahusika wanangojea nini kulifanyiakazi wazo lako wakipe hilo jina mapema ili kumtendea haki JK
 
Kumbe bado mna imani naye????

Au ndo mmechoka na sanaa na mnataka inyongwe kwa kasi zaidi?
No way,tunataka sanaa iendelee tanzania atatafutwa mtu wa kuendelea kama hamna bora mimi kuliko JK
 
Back
Top Bottom