Makaratasi ya kupigia kura yaanza kusambazwa mikoani..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makaratasi ya kupigia kura yaanza kusambazwa mikoani.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MtazamoWangu, Oct 20, 2010.

 1. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  dalili zinaonyesha mambo sasa yameiva na muda umefika...toka jana makaratasi ya kupigia kura yameanza kusambazwa kwenda kwenye mikoa mbalimbali yakitokea bohari kuu ya serikali, hali ya ulinzi ni nzuri lakini lipo kosa moja linalofanyika, magari binafsi bila ulinzi yanakodishwa na wale waliopewa tenda ya kusafirisha karatasi hizo nyeti bila ulinzi....unapewa mzigo na destination yako....kuna gari moja nasikia limepata tatizo njiani leo....

  tunatakiwa tuanze kukaba hapa...
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kukaba mimi kiungo. Ahsante kutahabarisha. Bandugu wakati umewadia wa kupiga TICK ya NDIYO kwa Dr Slaa
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Chadema wanatakiwa wawe macho juu sasa .
   
Loading...