JK ajipigia hesabu ya ushindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ajipigia hesabu ya ushindi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 20, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  JK amesema CCM watashinda uchaguzi na kuendelea kushika dola baada ya kufanya tathmini wakati akizunguka nchi nzima kwenye kampeni kwa sababu wanakubalika(Mwananchi 20 Oct. 2010). Tathmini yake katumia vigezo gani hata hasemi? Sasa mbona kampeni zenyewe za kubeba watu? Mbona kampeni zinajumuhisha na watoto wa shule za msingi? Mbona kwingine yeye na wagombea ubunge wamekuwa wakizomewa mfano Bukombe?
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Utamuweza huyo kilaza wetu:

  [​IMG]

  Anatumia madesa hata pasipostahili
   
Loading...