Napendekeza hiki kiwe kichwa cha habari kesho kwenye habari leo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napendekeza hiki kiwe kichwa cha habari kesho kwenye habari leo....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 20, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  what goes around comes around!kutokana na kichwa kikubwa cha habari leo kwenye gazeti la umma habari leo kusema"ahadi za slaa hazitekelezeki",napendekeza pia kesho waandike ahadi zifuatazo za jk hazitkelezeki:
  • hospitali ya sinza kuwa ya mkoa
  • kigoma kuwa kama dubai
  • ununuzi wa meli kubwa na mya ziwa victoria
  • ujenzi wa viwanja vya ndege vya kisasa,kigoma,bukoba
  • bajaj 400 kwa wajawazito
  • bonde la ruvu kuwekezwa ktk kililmo cha mbogamboga
  • kujenga machinga complex kila wilaya ndani ya dar
  naomba wana jf tuongeze nyingine kuwasaidia habari leo,najua waliandika hivyo ili kupooza joto la magazeti ya mwanahalisi,mwananchi,raia mwema na tz daima ya j5 ambayo huwa very critical na huifanya siku ya j5 serikali kupata mshituko
   
 2. p

  pierre JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napata kigugumizi maana,mbona hizo za miaka 50 iliyopita hazijztekelezwa??>Nimejaribu kupata picha ,kuwa Muhimbili,UDSM,IFM,CBE,DIT,MBEYA and ARUSHA Tech,KCMC,Bugando,etc na mengine mengi aliyafanya Mwalimu pamoja na kutokuwa na wasomi kama ilivyo sasa.
   
 3. u

  urasa JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata miradi anayoizindua sasa ni ya mkapa,sasa sijui yeye ametekeleza nini kwa miaka yake 5
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Maneno yangekuwa yanaumia, jk angekuwa kavimba mdomo sasa
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK hajabuni mradi hata mmoja...anatembelea nyota ya Beny Mkapa na kuelea kwa pete za...
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kabuni UDOM! Hapo namtetea!
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Tanga,Kibaha na Mtwara kuwa miji ya Viwanda... Katika kipindi cha 2010-2015 loh ndoto za ALINACHA!
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  KATEKELEZA PROGRAM YA ZAMANI YA bEN
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jamani, hebu leo tumalize Mzizi wa FITINA:

  UDOM alibuni nani?

  Mie ninavyofahamu ni kuwa MJENZI ni KIWETE, hili halina ubishi.

  Je kwenye kubuni, na kuanza maandalizi ya waalimu, wanafunzi, vifaa vya kutendea kazi nk, alikuwa Mkapa au Kikwete?
   
 10. u

  urasa JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni wazo la chadema wao wakalipora kama kawaida yao,angalia ilani zao kama wanazungumzia wazo la kuanzisha udom hasa ile ya 2005
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yaani jamani mnataka kusema kwamba 'Mwanakwetu' hajafanya kitu chochote cha maendeleo tangu aiingie madarakani miaka 5 iliyopita?
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kichwa cha habari "Ahadi za kikwete hazi tekelezeki" kama wanaweza kweli
   
 13. M

  Makiyuve Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tehe! tehe! tehe!! mbavu sina!!

  Mawazo yao yapo kwenye kuiba kura tuuuu na sio maendeleo.

  Duh!
   
 14. ehamaro

  ehamaro Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wee haja buni kitu hivi unajua Mkapa alikua ameshaanzisha mchakato wa kufungua chuo Dodoma na ndio maana alipo ingia tu akanza kuropoka tuna fungua chuo . we unafikiri muda kilio funguliwa na muda alio ingia angeweza kufanya hivyo , chuo kina hitaji mandalizi kibao na budget ya kutosha na waalimu
   
 15. ehamaro

  ehamaro Member

  #15
  Oct 20, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kafanya vingitu 1. kusafiri kila kukicha
  2. kwenda kubembea nje
  3. kuoa kisirisiri
  4.kafungua miradi mingi alianzisha mkapa
  5.kugawa mabilioni ya hela kwa....
   
 16. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kaka UDOM ilikuwa kwenye manifest ya CHADEMA, aliidokoa nzima nzima na kuiimplement...
   
 17. semango

  semango JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yeah kwa kweli kama kweli wao hawana upendeleo waweke hiki kichwa cha habari kesho.ila nahisi wakiweka kuna mtu ataishia kama babu Seya
   
 18. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Yeye kajenga chuo kikuu cha Dodoma, Kamleta rais wa marekani, kapata mgawo wa vyandarua (kila nyumba vyandarua viwiliviwili), kaimarisha uhusiano wa kimataifa kwa kufanikiwa kutembelea nchi nyingi zaidi kuliko marais wengine, kajenga shule za yeboyebo, kakarabati barabara alizojenga Mkapa, kashusha thamani ya shilingi, kaongeza mlipuko wa bei ili wafanyabiashara wapate faida zaidi pia kaanzisha harakati za kuuvunja muungano na mengine mengi. Au hayo siyo mafanikio?
   
 19. L

  Laptani Member

  #19
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa familia zetu extended baba, mama, watoto 4, mpwa na binamu. Nani ajifunike net hizo 2? au wengine wafilie mbali?
  Tunahitahji elimu ya kutokomeza mazalia ya mmbu si kujificha ndani ya net.
  Chagua Dr. Slaa kwa afya bora.
   
Loading...