Napiga kura kwa mara ya kwanza mwaka huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napiga kura kwa mara ya kwanza mwaka huu.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kibhopile, Oct 20, 2010.

 1. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  habari wana JF.
  31th oct, napiga kura yangu kwa mara ya kwanza na nahisi nawakilisha walio wengi tuu. sasa nawaomba wale wadau ambao walishapiga kura hapo awali kunithibitishia kama kweli kura huibwa au lah, coz hii kitu bana inachanganya sana. pls naomba unieleze hata kama ni ki-IT bt kwa kiswahili.sita-entertain sababu kama tiki kuhama,mtu kujificha darini na kama hizo. nahitaji mchango wako wa kitaalam zaidi, ili namimi nije kuwa shuhuda kwa mpiga kure mpya 2015.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hahahah! hiyo ya kujificha darini sikuijua.

  Chagua Slaa.
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Umesha jua kituo chako chakupigia kura Kwa sms?
   
 4. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  sure kituo naijua, bt nataka kujua kura yangu mpya inaibwaje? na kivipi?
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tafuta thread ya Mzee mwanakijiji ya leo au muangalie facebook kaelezea kila kitu mkubwa
   
Loading...