Hivi 'corruption inaongezeka au inapungua Bongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi 'corruption inaongezeka au inapungua Bongo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, Oct 20, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kuna hii taarifa ya mwaka ya World Economic Forum inaonesha viashiria muhimu vya uchumi kwa Tanzania. Kwenye vikwazo vikubwa vya kufanya 'business' cha kwanza kabisa 'corruption'. JK na CCM wanasema wanapigana na 'corruption' sasa hii ikoje? (Kupata data presentations, nenda kwenye panel ya kushoto, part 2, gonga drop down menu, halafu chagua Tanzania ujionee mauza uza mwenyewe)

  Source: Explore The Global Competitiveness Report 2009-2010 © 2009 World Economic Forum
   
Loading...