Zitto Auza Nguo Mkutanoni Kumchangia Mgombea Ubunge Sumbawanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Auza Nguo Mkutanoni Kumchangia Mgombea Ubunge Sumbawanga

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mlachake, Oct 20, 2010.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Ni ubunifu huo, kwa lugha nzuri ni 'Zitto aendesha harambee ya kuchangia kampeni za Chadema'.
   
 3. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Kweli kumepambazuka ! Wengine CCM tuliionya tangu mapema kuwa huu ni mwaka wa ukombozi - kuna waliotusikia na wapo walioweka pamba masikioni. Nachukua nafasi hii tena kumwonya Kikwete na familia yake kuwa waanze kufungasha mapema wasije wakaathirika wala mbinu za kuzichakachua kura wazisahau kabisaa kwa faida yao na wananchi kwa ujumla wao. Hizi siku kumi zilizobakia, watashuhudia moto ambao hawajauona hata kwenye ndoto zao kwani wananchi wamechoka na sasa wameamua - CCM basi kaput !
   
 4. M

  Mikomangwa Senior Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wajinga na maskini wakiamka na kujitambua hufanya maamuzi yanayoweza kuwashangaza walimwengu. CCM bila shaka ujumbe mmeupata.
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chadema imeishiwa inatembeza BAKURI
   
 6. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Fikara finyu panua wigo wa mawazo yako utagundu hiyo ni aina iliyozoeleka duniani ya harambee
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yes,wameishiwa "hela" ila sio "ubunifu" na nguvu ya "umma " ipo nyuma yao sio mafida

  Go chadema gooooo,nitachangia leo nami Dr.Slaa akifika mwanza
   
 8. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hata shinyanga aliongoza harambee hiyo na watu walichanga fedha halali zenye baraka ya ushindi!
   
 9. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa usemayo. Lakini wanayo nguvu ya uma nyuma yao
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  waambie ndugu zako waache kututumia msg za kijinga eeeti tumejenga udom tuwachague mbona hamsemi tumeenda sana uk tuwachague!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sisiem si wezi na mafisadi na ufadhili wa wahindi? Chadema watachangiwa na raia maskini kama Obama alivyofanya na kushinda. Hata KJ si unajua anakwendaga kukinga bakuli na alisema hadharani????????
   
 12. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180

  panua wigo

  Akuna neno mbadala kidogo,,
   
 13. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180

  Hata Obama alliningia white house kwa michango ya watu.CHADEMA si chama cha mafisadi wala hakina resources kama CCM
   
 14. b

  baraka boki Senior Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  acha umbeya umezoea kupewa elfu tano unalizika kwa miaka mitano
   
 15. MANI

  MANI Platinum Member

  #15
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mkuu huo ni mwiba hawawezi kusema
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ungetuambia na idadi ya chupi zilizouzwa na zitto pale kwa fipaaaaas
   
 17. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 18. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ngome nyingi za CCM zimebomoka safari hii. umati niliouna Sumbawanga Jana sikuamini ile ndiyo Sumbawanga iliyokuwa inakumbatia CCM miaka iliyopita.
   
 19. M

  MJM JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wasijipe sifa na hicho Chuo. Kwani wanatumia raslimali za nani kujenga hicho chuo kama siyo za taifa? Hakuna cha maana wamefanya miaka mitano yote. watupe gharama za hicho chuo na raslimali walizopewa na walizoiba tufanye assessment. VOTE FOR DR. SLAA
   
 20. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wabaya ni waliouza viwanda vya nguo kwa maslahi binafsi na wala sio anayeuza nguo kumsaidia mwenzake. HONGERA ZITTO.
   
Loading...