Nani aliye waloga!?

Nani aliye waloga!?

mdachi

New Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Macho mnayo ila hamuoni.
Masikio manayo ila hamsikii.
Midomo mnayo ila :tape:.

Laiti mngalijua nguvu ya Kura mnayoichezea, msinge wasikiliza waliobadili maudhui ya chama tunacho kifahamu sote leo yanasiomeka hivi:

- Rushwa si adui wa haki, nitapokea na kutoa rushwa kwa manufaa yangu na familia yangu.
- Binadamu wote si sawa, mwenye nazo ataongezewa asiye nazo hahaha...
- Kiongozi wa chama lazima awe mtu safi kwa kuwa fisadi.
- Maadui wakubwa wa Tz siyo umasikini, ujinga na Maradhi, bali ni wafichua siri za ulaji.
- Chama si cha Wakulima na Wafanyakazi, ila mabepari, mafisadi na ndugu zao.
- Mali zote za Tz sio za Umma, ila wajanja wachache.
- Kiongozi kamwe hakosei, hata ni msafi kama fisadi anafaa kuwa wakilisha wananchi.
- Elimu bora, huduma za afya na lishe bora haiwezekani........
- Tz haitajengwa na wenye moyo, bali kila mtu kivyake vyake.
- Tz itatawaliwa na Kim il Sung, Kim jong il, na Kim jong un na ............

Tumia Nguvu ya Kura Yako.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom