JK amewaahidi wakaazi wa Simanjiro kuwarudishia ardhi iliyoporwa na wawekezaji wa TANZANITE ONE mara baada ya mwekezaji huyo kumaliza kuyachimbua madini yote ya TANZANITE yaliyomleta hapa nchini...
Uchaguzi 2010 Ahadi za wagombea urais
Ahadi za Mzee slaa zinavutia .. 10 & rahisi kutekelezeka
Ahadi za lipumba za kusadikika bado msimamo wangu uleule hamna elimu bure chuokikuu sijapata kuona...
Ninapenda nitumie nafasi hii kama mwana JF mwenzenu tuache kwa dakika chache mambo ya uchaguzi ambao unamaliza utawala wa miaka 50 ya CCM. Zimebaki siku 4 tu kwa CCM kumaliza utawala wake wa...
Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili...
Baada ya mdahalo wa mgombea Uraisi wa chama cha CHADEMA siku ya jumamosi, niltembelembelea mitaa siku ya jumapili ili kupata maoni ya wakazi wa jiji la DSM, nikafika katika masakani ya wavuta...
Wadhamini wasweka rumande kwa kuvaa suruali mlegezo
James Magai
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala Ijumaa iliyopita iliwasweka mahabusu siku 14 wadhamini wawili wa mshtakiwa baada ya kuingia...
Vuguvugu za Watanganyika kutaka uhuru 1961 zinafanana na vuguvugu la mwaka huu 2010 wa uchaguzi ambapo Watanzania wameonyesha uchu na matumaini ya kufanya mabadiliko makubwa.
Mwaka 1961 Mwl...
MAMBO AMBAYO UNATAKIWA KUJUA KUHUSU KURA YAKO:
Na. M. M. Mwanakijiji
Kura yako ina nguvu gani na kwanini?
1. Kura yako ndiyo lugha pekee ambayo wanasiasa wanaielewa. Wanasiasa wote duniani...
Katika hatua za kumalizia ushindi, namshauri Rais mtarajiwa na kampeni meneja wake, warushe vipindi vya televisheni kila siku kuanzia leo hadi tarehe ya uchaguzi. Hii itasaidia watu ambao...
Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao...
Ukiangalia trend ya kisiasa hapa nchini unapata wazo kwamba mwaka 2015 CCM inaweza kuzikwa rasmi. Premise hii naijenga kutokana na ukweli kuwa 'voting age' inayokipenda Chama Cha Mapindizi...
JK atangaza kumaliza tatizo la maji umasaini
Kizitto Noya, Simanjiro
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete jana aliendelea na kampeni katika Jimbo la Simanjaro...
miongoni mwa kauli zilizonifurahisha zilizotolewa na dk ws kwenye mahojiano ya moja kwa moja aliyofanya na kituo cha runinga cha itv hivi karibuni, ni kauli yake hiyo ya kutokukubali damu ya...
A seasoned university law don and human rights expert, Professor Chris Peter Maina concurs with many including senior public servants, key public figures and distinguished academics that...
Shibuda azushiwa tuhuma nyingine
Zulfa Mfinanga, Shinyanga na Frederick Katulanda, Mwanza
HALI ya kisiasa kwenye Jimbo la Maswa Magharibi bado ni tete baada ya mgombea ubunge kwa tiketi...
"Nimeingia Maswa na kukutana vurugu za kisiasa kati ya CCM na CHADEMA,vurugu hizo zimepelekea watu kadhaa kujeruhiwa na dereva aliekuwa anaendesha gari la kampeni la CCM kuuawa na wafuasi wa...
Monduli wanaishi maisha magumu.
Tanzania bila CCM inawezekana, na kuendelea kukaa na CCM ni maafa makubwa.
Kama ningesema uongo kuhusu ufisadi wa JK na waswaiba wake, mbona sichukuliwi hatua...
Jamani watanzania wengi wanaitaji kumuona dr slaa..km kuna mtu anajua ratiba ya dr,bas atufahamishe lin ataenda huko lindi,mtwara,ruvuma.najua ruvuma alienda songea na mbinga masharik tu,vp kuhusu...
Baada ya maswali mengi kuzagaa kuwa wastaafu wa CCM na serikali yake aidha wamemsusa JK au wamesoma alama za wakati na kuingia mitini, Raisi Mstaafu Mwinyi alionekana ITV taarifa ya saa mbili...