The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 20
Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili kuwasikia wakihoji watu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa lengo la kuonyesha kwamba ile nyomi ipo ipo tu. Mara ya kwanza niliwasikia Karagwe na leo ilikuwa Zanzibar. Anyway, kuhusu Zanzibar haishangazi lakini BBC wanapaswa "Kudeclare Interest". Bado tuna kumbukumbu na Tido Mhando 2005!