mhh? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mhh?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by njiwa, Oct 26, 2010.

 1. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi 2010 Ahadi za wagombea urais

  Ahadi za Mzee slaa zinavutia .. 10 & rahisi kutekelezeka

  Ahadi za lipumba za kusadikika bado msimamo wangu uleule hamna elimu bure chuokikuu sijapata kuona except kwa nchi za Scandinavian tu.

  Ahadi za JK mbona nyingi hivi..??????? muhishimiwa raisi wangu si utazisahau nyingine ?

  KURA YANGU UBUNGO KWA MNYIKA .. RAIS SICHAGUI
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Njiwa si umpigie huyo mwenye ahadi zinazovutia ambazo rahisi kutekelezeka au?
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe umeuona ukweli, miaka yote ulikuwa na JK, lakini umeuona ukweli kuwa anatoa aahadi nyingi na ambazo hazitekelezeki, MPE KURA YAKO sLAA
   
 4. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ewe Njiwa wa Amani, endeleza amani ya nchi kwa kuchangia mabadiliko, SEMA SLAA Tosha. J2 nenda kituoni, weka TIKI kulia kwa nembo ya CHADEMA. Natanguliza shukurani kwako Njiwa.
   
Loading...