Dk Slaa: Sitakubali damu ya watanzania kumwagika!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk Slaa: Sitakubali damu ya watanzania kumwagika!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Oct 26, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  miongoni mwa kauli zilizonifurahisha zilizotolewa na dk ws kwenye mahojiano ya moja kwa moja aliyofanya na kituo cha runinga cha itv hivi karibuni, ni kauli yake hiyo ya kutokukubali damu ya watanzania kumwagika.
  Hivyo, propaganda yoyote ile ya kumchafua dk ws kunakofanywa na 'watu wasiojukana' hakika hazitafanikiwa kwa sababu, kama dk mwakyembe alivyowahi kusema, watanzania si wajinga kiasi hicho tena.
  Ni kwa sababu hiyo; 2010 hatudanganyiki!!!
   
Loading...