2015 CCM itazikwa rasmi ( My personal Observation)

2015 CCM itazikwa rasmi ( My personal Observation)

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
233
Reaction score
55
Ukiangalia trend ya kisiasa hapa nchini unapata wazo kwamba mwaka 2015 CCM inaweza kuzikwa rasmi. Premise hii naijenga kutokana na ukweli kuwa 'voting age' inayokipenda Chama Cha Mapindizi 'ina-phase out'. Hata sasa hivi age inayokipenda Chama tawala ile inayoanzia 50 years na kuendelea. Wakuu huu ni mtizamo wangu




Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
ni kweli kabisa, hasa mivitano ya ndani itasababisha ivunjike, mgombea atakayefata sehemu kubwa ni chaguo la mafisadi..wale wasafi itabidi wachomoke tu!
 
Sawa naheshimu mtazamo wako!!na mimi mtazamo wangu ni kuwa 2015 ni mbali sana,nafiki 2010 ndiyo mwisho wao!!!
 
kwani dr slaa atakua kaphase out ?

maana kaapa kukulinda chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom