Hawa jamaa wameanza kuchanganyikiwa, angalia yafuatayo:
Kinana: Elimu Bure haiwezekani
Kikwete: Elimu Bure haiwezekani
Prof. Magembe: Elimu bure ni sera ya CCM, wanafunzi wakimaliza darasa la...
Wana JF,
Leo Nimetinga Jiji la Arusha na kukutana na Shamla Shamla za mapokezi ya M/Kiti wa CHADEMA Mr. F. Mbowe nilicho kiona duuuh ni kama vile mji wote watapigia kura CHADEMA.
Wana JF...
Ndugu zanguni habari.
Ikiwa zimebaki siku nne watanzania tuchague viongozi wetu watakatuongoza kwa miaka mingine mitano nimekuwa kwenye dilema. Nina imani kabisa kuwa upinzani wakipewa nafasi...
Wakuu kuna igizo linaendelea TBC 1 'linaiua' ccm hasa. Linaelezea vigezo vyote vya ufisadi wa ccm kama rushwa kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Pia wananchi wanahamasishana kuchagua viongozi...
Wagombea wengi wa CCM ikiwa ni pamoja na mgombea wake wa uraisi wako chali, tunamsubiri refa amalize pambano tu. Masumbwi mazito ya CHADEMA inaonekana yametua vilivyo kwa CCM na kuna kila dalili...
Kuna taarifa zinasema kuwa; Mkapa baada ya kusakamwa sana na UFISADI, siku moja akiwa nje ya nchi, alikutana na Mwandishi mmoja ambaye alikwenda huko kwa ajili ya kupokea Tuzo, baada ya...
Jamani mliopo mkoa wa Lindi hebu tupeni ukweli ya kwamba mkutano wa Dr. Slaa leo mkoani Lindi watu walikua wachache kupita maelezo, au ndio maana alikua anaogopa kwenda kule???
Inaelekea mambo si mazuri hata kidogo huko Iringa mjini kwani hata gazeti la udaku wa kila siku Habari Leo linasema hivyo tafadhali jisomee!
Imeandikwa na Frank Leonard, Iringa;
Tarehe: 25th...
Habari zilizoingia kwangu jioni hii ni kwamba Mgombea ubunge wa CCM wa Musoma Mjini Vedasto Maninyi leo saa kumi jioni amekaribishwa kwa mawe na wanafunzi wa Sekondari ya Musoma alipojipeleka pale...
kuna methali isemayo "mwenda macho haambiwi tazama"!!!!!!!!
ukweli ni kwamba ukienda shule, waenda kufuta ujinga, ukienda shule ukahitimu na ujinga haujakutoka, basi utapata jina la sifa yaani...
Nikiwa natafakari juu ya mwenendo mzima wa kampeni ulivyokwenda mpaka sasa..na jinsi mwelekeo wa kisiasa ulivyo kwa kuzingatia kipindi chote cha kampeni huku tukiwa tumebaki na siku chache...
Anapogizwa kufanya kazi huwa hakosei hata kidogo. Huyu ni Mbowe na sasa hivi hapa viwanja vya relini Arusha amethibitisha hilo. Amepoteza yale matumaini kidogo aliyokuwa nayo Batilda Buriani kwani...
Leo hii, nilikuwa nikifuatilia hotuba ya Daktari wa kweli Slaa, live TBC1.
Nilishtushwa na zile data alizozitoa, anasema zilisomwa mbele ya JK katika mojawapo ya ziara zake. Milioni mia saba...
ZImebaki siku Nne tu Uchaguzi na maamuzi Sahihi ya Kila Mtanzania anayekerwa na UFISADI achague DR.SLAA NA chadema woote KWA UJUMLA haya yatakuwa maamuzi sahihi na utajutia kura yako ila kama...
Naona wengi mnakulupuka kama mnaofukuzwa kutoka machakani ,sijui Slaa hivi na kule nako CUF wanasema na kupiga makelele kuwa wanaviti 50 vya ubunge na kuteka madiwani angalau wao hawajafika kusema...