Mkutano wa Slaa mkoani Lindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa Slaa mkoani Lindi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bollo Yang, Oct 27, 2010.

 1. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani mliopo mkoa wa Lindi hebu tupeni ukweli ya kwamba mkutano wa Dr. Slaa leo mkoani Lindi watu walikua wachache kupita maelezo, au ndio maana alikua anaogopa kwenda kule???
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mwenye updates atupe,ila hope ppo zilikua nyomi kama kawa maana slaa anakubalika
   
Loading...