Prof. Lipumba Live On Agape Television NOW | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Lipumba Live On Agape Television NOW

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bado Niponipo, Oct 27, 2010.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Prof. Lipumba live on ATN
   
 2. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ameanza kuzungumzia, jinsi serikali ilivyoshindwa kwa kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania.
   
 3. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hali ya maisha imekuwa ngumu, mwaka 2005 kilo ya sukari ilikuwa Tsh 460 lakini sasa inakalibia Tsh 2,000
   
 4. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Anadai Elimu bure inawezekana kwani hata wao wamesoma mpaka vyuo vikuu bure.

  Vilevile anazungumzia umoja wa kitaifa, ambapo anasema serikali yake inachukua watu wa vyama tofauti na hata wasio na vyama vya siasa,

  Anazungumzia viwanda haviwezi kuendea nchini kutokana na matatizo ya umeme, umeme wa tanzania ni kidogo na sio maalumu.

  Anaainisha vyanzo vya kupata umeme wa kutosha, ikiwamo maji na gas, anadai tunavyanzo vingi vya maji lakini ni asilimia moja tu ya maji inayotumika. amedai hata kwenye kilimo ni asilimia moja ya maji ya mvua yanayotumika kwa kilimo.
   
 5. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Anaizungumzia elimu, anadai enzi zao watoto wa maskini walikuwa wanafaulu vizuri na wakaguzi walikuwa wakitembele shule mara kwa mara.

  Anadai hadhi ya ualimu imeshuka.

  Serikali za kata bila walimu ni kazi bure, vile vile masomo ya sayansi yako chini sana, serikali yake itatiulia mkazo elimu ya sayansi na kuwekeza kwenye maabara na Technologia, mambo ya ICT
   
 6. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sasa anaanza kupangua swala la afya, anadai huduma kwa wakinamama ni mbovu, vifo vya kina mama wajawazito na watoto wachanga ni vingi sana., huduma za afya ni mbovu na haziwafikii wananchi wengi, na ni gharama.

  Serikali yake itatoa huduma ya afya bure na madawa yataku available
   
 7. m

  marijanda Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hongera ATN KWA kutoa fursa sawa kwa wagombea kunadi sera zao ili wananchi tuchague kulingana na sera na si jinsi tumepewa vitu kama vinywaji, nguovile tshirt, vitenge nk.
   
 8. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Anapangua kilimo na kuziponda sera za sasa kuhusu kilimo, anadai bujeti ya kilimo haizidi 6% anadai kilimo kinatakiwa kupewa at least 10% ili kukidhi mahitaji ya tafiti na kusaidia wakulima kwa vitu kama mbolea etc.

  Kilimo kikipewa kipaombele hali ya maisha itakuwa nzuri na gharama za maisha zitashuka, at the same time kitaongeza malighafi kwa viwanda vyetu, ajira, na pato kwa kuuza nnje ya nchi.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kilimo amegusia,uyu jamaa nadmire sana chonde Slaa umpatie ata Uwazili wa uchumi.
  Jamaa kapiga simu anataka Slaa na Lipumba waungane twasubiri majibu ya Lipumba
   
 10. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Maswali kwa simu:-

  Muuliza swali 1. anadai anawakubali sana Dr Slaa na Pro. Lipumba anachosema kwa nini wasingeungana ili waweze kufanya mapinduzi makubwa na ya nguvu?

  Jibu: Tatizo vyama vingine vilisema wanaenda majimboni, Slaa, Mbowe, Mrema sasa tulijua hakuna mtu anayetaka kusimama na sisi tulisha jipanga, lakini next time tunaweza kufanya hivyo, lakini vile vile katiba inasumbua hapo inabidi kusajili chama kiwe chama kimoja, kwa hiyo katiba inabidi ibadilike, ili kulinda madiwani na wabunge..kalifafanua vizuri sana.

  Jibu: Kabla hata ya katiba mpya vyama vilikuwa vinaruhusiwa kuunganisha vyama bila wabunge na madiwani kupoteza nafasi zao, lakini katiba yetu imechakachulia kuifanya iwe vigumu kwa vyama vya upinzani.


  Muuliza swali 2. Powatila hazifai kwa kilimo kulingana na ardhi yetu, serikali imepoteza pesa nyingi na gharama kubwa je akiingia madarakani atawaadhibu vipi watu wanaonunua vitu visivyo na tija na kuingiza serikali hasara kubwa?.

  Jibu: Serikali inaingiza watu mkenge, inakurupuka bila kufanya utafiti ni kama shule za kata na hivyo kutuingiza gharama kubwa


  Muuliza swali 3. Namkubali sana Pro.Lipumba, viongozi waliotangulia inabidi wawe mfano kwetu, naomba vyama vya upinzani waungane kama kenya, maghembe amedai hakuna kuchija wanafunzi mpaka form four, je tumefikia huko?

  Jibu: Mitihani ya darasa la saba ni muhimu, watatenga 25% kwenda kwenye elimu, kodi inapotea tuna hela nyingi mfumo wa kodi ni mmbaya na ukusanyaji ni mbovu.
   
 11. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Koo naona inanikauka, safari baridi wapi wakuu?
   
Loading...