Elections 2010 Maamuzi sahihi

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
ZImebaki siku Nne tu Uchaguzi na maamuzi Sahihi ya Kila Mtanzania anayekerwa na UFISADI achague DR.SLAA NA chadema woote KWA UJUMLA haya yatakuwa maamuzi sahihi na utajutia kura yako ila kama unahitaji kubaki na hali hii ya watanzania masikini CHAGUA Sisiemu. Naamu wazi kwa akili yangu timamu kuchagua DR.SLAA awe RAIS wetu kwa miaka MITANO kama alivyosema yeye. NDANI YA SISIEMU wanagombana sana jinsi ya kujiondoa Serikalini.
 
Nimepoke ujumbe toka Legal & Human and Right Center. Wanaomba saidia kufichua VITENDO VISIVYO VYA KAWAIDA KATIKA KITUO Chako cha kupigia kura. kama vitisho nk, Kutoa Taarifa, Andika Kituo chako acha nafasi andika taarifa , tuma kwenda 15540.
 
Asante sana mkuu wangu. Hii ni habari muhimu sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom