Igizo TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igizo TBC

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Isaac, Oct 27, 2010.

 1. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Wakuu kuna igizo linaendelea TBC 1 'linaiua' ccm hasa. Linaelezea vigezo vyote vya ufisadi wa ccm kama rushwa kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Pia wananchi wanahamasishana kuchagua viongozi wenye sifa za wagombea wa CHADEMA. Pia wanaongelea jimbo ila kwa mtu mwelewa atajua wanamzungumzia JK.
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  karibia kupambazuka
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  sio igizo tu vyombo vya habari karibia vyote vinatoa ujumbe unaomlenga yeye na chama chake
   
 4. c

  chanai JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuing'oe kabisa tarehe 31
   
 5. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Itakuwa braza Tido haelewi ujumbe,vinginevyo angekata matangazo.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  TBC1 kweli? basi nimeamini uongofu upo!
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  watakuwa hawajaelewa ujumbe:nono::nono:
   
 8. m

  mwalimumpole Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  tatizo la mafisadi hawajui kusoma majira, subiri uone mwanguko wao
   
 9. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Igizo la ukweli trh 1 wakati tunamwapisha Dr. wa ukweli kuingia ikulu na kumsindikia jemedari kulekea Bagamoyo
   
 10. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mafisadi wakitushinda Oct 31, mpaka ifike 2015 watatuoa roho kwa visa na visasi, kwa kuiba kufidia na kuweka akiba ya kuanzaia kampeni za 2015. Plan B & C are very important:doh:
   
Loading...