Elections 2010 Ingekuwa wewe ndio jk..ungefanya nini!?

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Nikiwa natafakari juu ya mwenendo mzima wa kampeni ulivyokwenda mpaka sasa..na jinsi mwelekeo wa kisiasa ulivyo kwa kuzingatia kipindi chote cha kampeni huku tukiwa tumebaki na siku chache zimebaki kufikia uchaguzi...ndipo nikamkumbuka jamaa yangu jei kei!! Nikajaribu kupitia post nyingi zilizotumwa na wana JF..daah!! mara kakusanya wanafunzi..mara sijui watu wamemsusa huko wapi sijui..mara watu wamemvalisha mbwa tshirt yenye picha yake...loh! Hivi..mwana Jf mwenzangu..unaweza kuvuta picha yoyote kichwani mwako juu ya anayoweza kuwa anawaza mida hii!?? Au unadhani ungekuwa wewe ndo jei kei sasa mfano..ungefanyaje na hali hii...Je, ungejitoa kwenye uchaguzi? Je, ungetafuta mbinu za kuvuruga uchaguzi? Je, ungeacha mambo yaende kama yanavyoonekana kwenda..!??? Je ungeenda kumuomba Slaa walau asikusahau kwenye "ufalme" wake??? au ungeenda Ikulu kuanza kupaki vilivyo vyako tayari kwa safari ya kurudi home!?? Ungefanyaje.....!!?

chadema: :israel: Chichiemu: :A S cry:
 
Kawe:

Slaa+kuhutubia+Kawe+1.JPG
 
maana yake hapo ni kuanza kutafuta urafiki mapeeeeeema kwa dr. slaa!!
 
Mimi nawahakikishieni kama kura zzingekuwa zinapigwa na wana JF pekeyake basi JK angelikuwa na wakati mgumu sana. Nafurahia sana changamoto lakini ukweli ni kwamba hawa jamaa watapiga bao kwa margin ndogo sana lakini itakuwa ndiyo historia wameshandika. Kifupi haali ni tete lakini kazi ipo, ngojeni baada ya tarehe 31.Oct akina Malaria Sugu wataibua balaa na jokes kibao. Saizi wamo kama hawapo.
 
ningeenda kusaidiana na sheikh yaya katika zile kazi zetu maana wamekuwa washirika wa pamoja kwa muda mrefu so nadhani ana uzoefu wa ile kazi
 
Back
Top Bottom