Mbowe atikisa mjini Arusha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe atikisa mjini Arusha...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jethro, Oct 27, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,222
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Leo Nimetinga Jiji la Arusha na kukutana na Shamla Shamla za mapokezi ya M/Kiti wa CHADEMA Mr. F. Mbowe nilicho kiona duuuh ni kama vile mji wote watapigia kura CHADEMA.

  Wana JF, hapa arusha kama kweli ndio hii basi ndugu zangu wa CCM kazi mnayo hapa Jimbo la Arusha.

  Hii ni ile hali ya lala salama sasa. nami karibia nirudi wahi kupiga kura Nyamagana sasa
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Afike na tarime jama mbona wamemwacha waitara peke yake na wanajua mwera alipoondoka aliacha kakidonda flani hivi huko?
   
 3. bona

  bona JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,797
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  ccm wanashindwa kusoma alama za nyakati kua wamasai na waarusha kihistoria hawatawaliwi na wanawake kwa iyo tukio kama hili la ccm kumsimamisha mwanamke kugombea ubunge ni wamevunjiwa heshima kupita kiasi!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 85,149
  Likes Received: 60,421
  Trophy Points: 280
  Huu umati hapa viwanja vya unga limited ni wa kihistoria.......Jamani walio karibu na Jk na CCM yake wawashauri ya kuwa waseme wanayakubali matakwa ya watanzania.............................
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,222
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Anaelekea viwanja vya NMC au terati na wanatokea mshono kuhutubia kama nilivyo elezwa na mwanyeji wangu hapa Arusha nadhani watu wote wa maeneo ya Unga Ltd kama sija kosea waatajaaaza uwanaja huo na mjini kati maeneo ya stand ya mabasi yayaendayo mikoani kama mkutano utakuwa hapo NMC.

  Nadhani hii ni tosha kabisa kuwa Democrasia inakwenda inabadilika taaaratibu na wananchi wanashangilia tu vizuri na police wana walinda kwa usalama mzuri kama nilivyoona kwa macho yangu. Nadhani kutakuwa na utulivu tuuu.
   
 6. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 9,570
  Likes Received: 1,485
  Trophy Points: 280
  Mbowe aende na kule Busanda kwa Magesa akatie chachu.
   
 7. S

  Subira Senior Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.
   
 8. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,589
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nami nimeshuhudia msafara ukielekea huko NMC, kwa kweli watu wamejitolea sana, magari pikipiki n.k ukizingatia CDM hawawalipi hawa watu kama wafanyavyo CCM. inatia moyo sana juu ya mwamko mpya wa Watanzania
   
 9. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole na kazi Subira, wamekuacha mwenyewe hapa JF, kwa nini? Wapi MS, Jeykey nk? Nimependa style yako ya spinning
   
 10. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,589
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Una macho lakini hayaoni. Kazi kweli kweli.
   
 11. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,383
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Duh wewe mwenzetu uko mtaa gani maana mm niko uwanjani tayari. Ulichosema sii cha kweli. Mwachakachua kila kitu .
   
 12. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,852
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  .
  Ni kweli mkuu, waandamizi wa chadema wasiache kabisa kutofika Tarime kabla ya mda wa campaign kwisha. Hapa tarime panawakilisha alama ya ukakamavu ya mageuzi nchini!!
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Deformed mentally!
   
 14. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,722
  Likes Received: 2,570
  Trophy Points: 280
  weka picha kukata ngebe..
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  bwa ha ha ha ha ha
   
 16. m

  masaiti Senior Member

  #16
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wee subira wacha kupotosha watu, tangu lini nmc ikawa uhuru road?
  Kifo chenu kinakaribia 31.10.2010
   
 17. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,560
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  CHADEMA wamtume pia ZITTO pale Mwanza akafukie mashimo ya JK aliyoweka jana.Wakifanya hivyo watawachanganya sana CCM kwani wao hawakuwa na plan kama hiyo.
   
 18. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Zito au dr slaa lazima arudi mwanza, busanda na tarime, kwimba kwa reticia nyerere hayo ni majimbo yanayohitaji final touch kuyaweka kibindoni
   
 19. M

  MULANGIRA Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaelekea wewe ni dakta mpindisho (spin-doctor) kwani kwako watu wengini wachache kama msafara wa arusi ya hali ya chini. Ndugu yangu kubali yaishe.
   
 20. S

  So Perfect Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  huu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!
   
Loading...