MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Ndugu zanguni habari.
Ikiwa zimebaki siku nne watanzania tuchague viongozi wetu watakatuongoza kwa miaka mingine mitano nimekuwa kwenye dilema. Nina imani kabisa kuwa upinzani wakipewa nafasi watafanya vizuri hilo sina shaka nalo ......lakini pia nina imani kuwa CCM ikipewa nafasi nyingine kuna uwezekano kabisa wa mgombea wake ndugu J.K kubadilika na kuwa mchapa kazi mzuri kwa sababu
1. Nina imani kabisa kuwa katika kipindi hiki cha kampeni ameweza kupata picha halisi ya utendaji mbovu wa watendaji wake na kwa hali halisi ninavyomwona ni kuwa atakuwa ameshtushwa sana na reactions ambazo amekuwa akizipata kwani Watanzania wamemwonyesha live bila chenga kuwa uongozi wake ni mbovu na hawana imani nao.
2. Nina imani kama atashinda basi tutegemee mabadiliko makubwa sana katika userious wakke katika suala zima la uongozi wa Tanzania kwa sababu kuu mbili
1. Angependa kuhakikisha utendaji bora wa watumishi wakke ili kuprove kuwa yeye kama yeye anauweza uongozi,
2, Angependa kuirudisha imani ya watanzania juu ya chama tawala cha CCM ambacho kimekuwa madarakani tangu tupate uhuru, Kama binadamu sidhani kama atarest in peace iwapi CCM itafia mikononi mwake. So atachange la sivyo atakuwa na matatizo yasiyotibika.
Hivyo basi katika kuelekea uchaguzi ninawaomba watanzania wenzangu tujitahidi kuilinda amani yetu ambayo tumekuwa tukisifiwa na kujitapa nayo dinia nzima kwa kuamini kuwa yeyote atakayeshinda atajaribu kuwa kiongozi mzuri ili kuprove wrong wrong.
Tuungane kuidumisha amani yetu na mshikamano.
MUNGU Ibariki TANZANIA.
I advocate for a peaceful election and Acquisation of Power.