Tz nzima iwe iwavyo hamtoiangusha CCM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tz nzima iwe iwavyo hamtoiangusha CCM.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwiba, Oct 27, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naona wengi mnakulupuka kama mnaofukuzwa kutoka machakani ,sijui Slaa hivi na kule nako CUF wanasema na kupiga makelele kuwa wanaviti 50 vya ubunge na kuteka madiwani angalau wao hawajafika kusema kuing'oa Kikwete team kwenye madaraka ,Chadema ndio mnaovuka mipaka kiasi ya kuwawacha wengi tukiwa hoi.

  Kuing'oa CCM sio mchezo wa kujificha ,kama mtatafuta na kupata kwa kuwa tu mikutano inafurika washangiliaji au tuseme wasikilizaji ,nakumbuka CUF miaka ya 2005 na 2000 ,ni kishindo na magari kwa magari yakiongozana na fujo la kuzunguka miji ,walichopata kutoka CCM ni viti sifuri vya ubunge ,mpaka leo hawajakaa sawa.

  Nikiona ni jinsi gani WaChadema wanavyojenga matumaini japo sio jambo baya ndivyo haswa inavyotakiwa lakini hadi hii leo sijasikia uhakika wa CHADEMA kutaja maeneo ambayo watachukua viti vya ubunge au udiwani ,tofauti nayo na CUF ambayo imejenga matumaini ya 100% kuwa wanauhakika wa kunyakuwa viti hivyo kwa urahisi tena bila ya tabu yeyote ile ,hebu WaChadema wekeni uhakika mlionao tuone.

  Sasa nikiludi kwenye kinyang'anyilo cha uraisi ,kusema kweli mtaanzisha fujo lakini mtazimwa ,na kule Tarime ambako CUF imeweka uhakika wa kutwaa jimbo hilo mmeanza kulusha mawe ,wenzenu Zanzibarwalipiga lisasi za moto leo hii Zanzibar inatwaliwa na CUF kiulaini kabisa. URaisi hauwezi kutoka katika kipindi hiki ,hilo haliwezekani mkitaka msitake ,ni bora mkajipanga upya kwa ajili ya 2015 ,kwani hapo kutakuwa na mtarajiwa wa Uraisi kwa tikeni ya CCM ambae atakuwa ni mpya na itakuwa rahisi kumpiga na chini.

  Chadema safari hii mkae mkijua ndio mwisho wenu msipoangalia na ni vyema mkapunguza matumaini katika hizi siku mbili tatu zilizobakia ili kuwalinda wapiga kura wenu wasije wakababaika na hatimae kuwapiga kikumbo ,hayo ni maneno yangu ya akiba.No way to remove ccm on this election ,no way !! Keep your voters on the safe sides and do not destroy them and let them be with you on 2015.
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bwa ha ha ha ha, umeanza kuwakana CUF (au muda wa unafiki umekwisha)?


  [​IMG]
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ha ha haaa!!!!! mie simo.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huo mwiba umeingia kwenye kiungo gani cha mwili? kwasababu unavyoropoka usikute umeingia kunako.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sio wala sipo kwenye unafiki,ila ukweli ni lazima usemwe ,mbali ya kuwa jeshi na polisi na wenginetele wamekuwa mstari wa mbele kusema kuwa hawatassaidia chama chochote ,huo ni uwongo mkubwa kusemwa na vyombo hivyo ,kwani ukiangalia sana utaona ni kasheshe ya aina gani iliyotokea katika majina ya wapiga kura karibu nchi nzima wanapiga makelele au sio ???

  Hapo kama hivyo vyombo vipo katika kutenda haki vingeanza kusema na kuilalamikia NEC kuhusu matatizo hayo ,ila NEC wanajilinda kiurahisi kwa kusema malalamiko wameyapokea !!! Je hapo mmepaona au bado mnapapasa ?? Hakuna chombo wala mtu anaeifuatilia hali hiyo na itapita hivi hivi ,mpooo ??? Hivi unafikiria malalamiko hayo ambayo NEC imekiri kuyapokea watayarekebisha ndani ya siku tatu hizi zilizobakia ???
  Kama ni mahesabu basi mjue kuwa yamepangwa kwamba hata yakitokea malamiko hakutakuwa na muda wa kuyarerekebisha au kuirekebisha hali hiyo ,bado niite mnafiki sawa huo ni uwono wako ulio dhaifu unaoshindwa kupambambanua hali ya kweli inayojitokeza katika siku hizi za lala salama ,time will not wait for corrections to take place ,.."Jawabu muda hatuna...! Very simple & no one to blame kwani vyombo ni vyao.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Malizia kuandika sio unatafuna tafuna maneno au unaogopa kuharibiwa ukubwani ?:yield:
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  jibu unalo!!! :wave:
   
 9. T

  The King JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :hurt::peace:
   
 10. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  :lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala:
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  hayo meno unaonyesha naona yana ugavu mweusi ,huu ushindi wa CCM ni wa uhakika na sio wa kubahatisha na tupo au tuombe uhai ,nawambia tena wekeni sukari na chnvi karibu ,maana mnaweza kupanda au kushuka BP ,CCM sio mchezo ,sisi wengine tunaielewa na tunatoka nayo mbaali sana sasa mchukulie huyu Simpson kama ndie Slaa.
  bart-01.gif
   
 12. T

  The King JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2010 imekula kwenu. :peace:
   
 13. J

  JOBANO Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwanza hujui ht lugha yako,binadam ndo 2nasema yeyote,ila tabu ni yoyote na si yeyote. Shika vidole viwili vya mwisho kwadole gumba then viwili vilivyobak vinyooshe na nyenyua mkono juu sema Chadema juu
   
 14. 911

  911 Platinum Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Mwiba ulikuwa na kawaida ya kuwaita SULTANI CCM,cjui huo usultani ulishaisha au ndo mambo ya muafaka?
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Una posti 3 umajiunga juzi jumatatu ,unatwambia tuliozeeka hapa hatujui lugha, ni bora utuombe samaani ! Hivi unaielewa maana ya alama ya chadema zaidi naiona ikitumiwa na Wapalestina ,yaani wanamaanisha kurusha mawe au sivyo ???
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  System ikiwa inakufaidisha lazima uiteteeeeeeeeee
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Aloo msimamo wangu upo pale pale ,natumai kama utanisoma kwamakini utaona kwa nini nasimamia uhakika wa hali tuliokuwa nayo ,kwamba bado CCM imeimiliki Tanzania kwa maana ya kuwa vyombo hivi tunavyovitegemea kutenda haki bado vumejaa wanaCCM sasa hapo unategemea kushinda kwa njia gani ?? Usinambie wala sitaki kusikia kura !! Hilo haliwezekani kabisa wala tusiweke tamaa bado ipo kazi kubwa na moja ya kazi hio ni kutokea kwa fujo ambalo litaipelekea Dunia kutambua kuwa WaTz hawaitaki tena CCM ,natumai umenifahamu ,sasa kusema kwa njia hizi za kupiga kura naona hapa tutaridhishwa kwenye wabunge na madiwani lakini nafasi ya Uraisi wandugu ipo kazi ,napenda nifahamike vizuri sana ,maana hata sijaigusia Katiba na tume za uchaguzi.
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Acha uongo wewe. Wajanja walikushtukia longo time kuwa wewe ni ccm unayepretend kuwa mwana CUF. Naona leo umejiumbua mwenyewe.
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wewe umesema hayo ,,ila mimi msimamo wangu naujua mwenyewe ,tatizo silioni hata nikiwa mwana CCM au Chadema ,bado umakini wangu ni kuona kushindwa kwa vyama vya upinzani kwa mara nyingine ,vyama hivi naviagiza vizuke na kudai Katiba mpya ,wasikubaliane na mambo haya ya NEC,Polisi,majeshi,usalama wa Taifa na sheria zingine ikiwemo mahakama kuwa vinatenda haki bila ya kuegemea upande wowote ule ,hilo sio kweli ni lazima madai ya Katiba mpya wayape kipau mbele kabla ya miaka mitano ijayo ,la si hivvyo watapigwa na chini kwa mara ingine.
   
Loading...