Mgombea wa CCM apata wakati mgumu Musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa CCM apata wakati mgumu Musoma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 27, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Habari zilizoingia kwangu jioni hii ni kwamba Mgombea ubunge wa CCM wa Musoma Mjini Vedasto Maninyi leo saa kumi jioni amekaribishwa kwa mawe na wanafunzi wa Sekondari ya Musoma alipojipeleka pale kunadi sera zake. Ilibidi aondoke haraka yeye na wapambe wake bila kuhutubia mtu yoyote.[/FONT]


  [FONT=&quot]Wanafunzi walisikika wakisema hapa anaingia Dr wa ukweli tu, au wagombea wa chama chake na si sura nyingine yoyote Hizi habari ni za uhakika kabisa.
  [/FONT]


  [FONT=&quot]
  [/FONT]
   
 2. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Safi sana, wakome hao mafisadi
   
 3. m

  marijanda Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :nono:nafikiri mawe si sawa nawashauri hao vijana wa shule wawe waungwana kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa au uelewa japo kidogo. wangemwonyesha ishara ya chama yaani vidole viwili hewani vurugu si nzuri tutunze amani yetu ambayo ni lulu dunia nzima,
  mungu ibariki Tanzania
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  patience has its limits....

  Hizi kampeni zingeendelea kwa wiki mbili zaidi nahisi pasingetosha. Kadiri siku zinavyoyoyoma naona ma uvumilivu unawashinda watu.
   
 5. f

  fisi dume New Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kurusha mawe ni kukomaa kwa akili, utawaambia nini wanafunzi mnaowajengea vyoo tundu 4 milion 700, mawe ni dawa ya mafisadi yaliyokomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 6. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimependa maneno haya "hapa anaingia Dr wa ukweli tu", ila tuzuie jazba zetu waungwana. 31 tukamkabidhi nchi Dr wa ukweli "Slaa" kwa amani.
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Niwajuavyo hao boys, ni wanaume wala si wa kiume!
   
 8. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono mkuu, tusiwe tusiosikia, Dr. wa ukweli kasema tuwaache tu ila tu siku ya kura tufanye kweli
   
 9. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,447
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  kitaeleweka tu
   
 10. c

  chanai JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndo new blood. Haiwezi kudanganywa na sera mbovu za CCM.
   
Loading...